Tz mbongo
JF-Expert Member
- Mar 12, 2015
- 12,277
- 6,439
Mimi napenda sana kunywa maji mengi ila imefikia hatua sasa naogopa kunywa hayo maji mengi kwa kuhofia kukojoa mara kwa mara na wakati mwengine hata glass moja ya maji naweza kuhofia kunywa kwenye mazingira ambayo si rafiki na chooni.Pole sana mkuu
nikuulize maswari machache hunijibu
1*je kasi (presha ya mkojo) imepungua
yaan unajikwinya sana kuutoa mkojo
2*je mkojo hutoka ukiwa mwembamba sana(yaan ukubwa wa mkojo vile unatoka upo tafauti na zamani)
3*je wakati mwingne mkojo hutoka km mabomba mawiri au matatu yaan hutawanyika hasa km ukiwa umetoka kuamka
4*je ukimaliza kukojoa ushafunga zipu huwa unajihisi km chembechembe za mkoja zinatoka zinamalizia
5*umeoa au unaishi na mwanake au mpenz ambaye mnakutana(sex) mara kwa mara
6*je huwa unafanya au uliwahi kuwa unafanya punyeto sana
7*je chini ya mbavu au juu ya kitovu pande zote huwa unajihisi maumibu makari hasa mkojo ukiwa umekubana ?
8*kutoka kwenye mbavu kuja kwenye kibovu huwa unahisi km kuna tube(mithiri km bomba) zinawaka moto au maumivu yanafanana na kidonda km kimewekwa ndimu
8*je huwa unahisi maumivu kwenye kibofu yaan kibofu km kinawaka moto mitihili kidonda kilichowekwa ndimu
9*ukimaliza kukojoa huwa unahisi ahueni kubwa kwenye kibofu mpk ureta ambayo udumu kwa muda mchache
10*je kiasi cha mkojo huwa unatoa kwa wingi kutokana ns kukuuma kwa kasi au ni kwa uchache mkojo wa asubuhi huwa unakoa kwa uchache pia
11* je hilo tatizo tangu limekuanza lina muda gani ?
12* swali la mwisho je imefikia hstua unaogopa kunywa maji mengi kuhofia mkojo?