malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 2,780
- 2,716
- Thread starter
- #41
Kipimo hakiwez niletea shida kwenye dick usimamaji pia au kidonda ktk njia ya mkoja Hadi kwenye kibofu labda kikanichubua ndani kwa ndan nakuacha kidondaMkuu polee sana. Hicho kipimo kinaitwa urethrogram. Nakushauri ufanye ili iwe rahisi kujua tatizo lako. Usipende sana ramli mkuu. Maumivu ni kidogo sana na pia unakuwa exposed kwenye radiations. Otherwise nadhani ni njia sahihi kujua tatizo lako.
Hicho kipimo wala kisikutishe, kuna vingine ambavyo ni very worse. Mfano barium enema( unapitishiwa kupitia njia ya haja kubwa)