Mrejesho: Nimepata mchumba, shukrani JF

Mrejesho: Nimepata mchumba, shukrani JF

missrena

Member
Joined
Oct 13, 2015
Posts
23
Reaction score
6
Habari wana JF.

Wapendwa mwaka jana nilitoa uzi wa kutafuta mchumba, na nashukuru Mungu walijitokeza wengi wenye na wasio na vigezo, wengine waume za watu(wonders never seize)

Nilifanikiwa kumpata mmoja aliyekidhi vigezo na tukaanzisha urafiki hatimae uchumba, na kwakweli he is such a wonderfull man, namshukuru Mungu kwa hilo sana.

Kwa neema ya Mungu ndoa ni Februari mwakani.

Hivyo niwatie moyo wale wanaotafuta, ila kuweni makini tu maana katika msafara wa mamba, kenge hawakosekani.

Shukrani JF.
 
Habari wana jf.

Wapendwa mwaka jana nilitoa uzi wa kutafuta mchumba, na nashukuru Mungu walijitokeza wengi wenye na wasio na vigezo, wengine waume za watu(wonders never seize)

Nilifanikiwa kumpata mmoja aliyekidhi vigezo na tukaanzisha urafiki hatimae uchumba, na kwakweli he is such a wonderfull man,namshukuru Mungu kwa hilo sana.

Kwa neema ya Mungu ndoa ni Februari mwakani.

Hivyo niwatie moyo wale wanaotafuta, ila kuweni makini tu maana katika msafara wa mamba,kenge hawakosekani.

Shukrani jf.
Uliweka tangazo Jana, Leo umempata na ndoa n February. Asee, kama ulivyosema "wonder never seize"
 
Mirejesho iongezeke iniongeze moto wa kuweka bandiko langu.
 
Habari wana jf.

Wapendwa mwaka jana nilitoa uzi wa kutafuta mchumba, na nashukuru Mungu walijitokeza wengi wenye na wasio na vigezo, wengine waume za watu(wonders never seize)

Nilifanikiwa kumpata mmoja aliyekidhi vigezo na tukaanzisha urafiki hatimae uchumba, na kwakweli he is such a wonderfull man,namshukuru Mungu kwa hilo sana.

Kwa neema ya Mungu ndoa ni Februari mwakani.

Hivyo niwatie moyo wale wanaotafuta, ila kuweni makini tu maana katika msafara wa mamba,kenge hawakosekani.

Shukrani jf.
Kwahiyo kuna Kenge walikula mzigo wakasepa?
 
Ukiona unakutana na kenge,mijusi jiangalie...labda na wewe ni kenge,mjusi.
 
Hivi haya mambo kumbe yanawezekana
Kila lenye heri mama, Mungu awatilie wepesi.
 
Back
Top Bottom