Karibia..Asante sana juan moses
acha tu vale palepale nilimuambia yule advocate anitafutie ardhi nyingine nikaipata nikanunua kisheria full documented[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hongera sana geniveros.
thank u sana snipesMae hongera sana kwa kufatilia haki yako mpaka umeipata...
Hope siku nyingine hawatafanikiwa kukuingiza chaka
haha nakumbuka sredi yako HONGERA SANA
ila hapo kibongo bongo ushavunja undugu na shangazi sijui mamdogo vle
sana tu ndo maana nimekuja kutoa neno la shukrani kwa kweli jf ilinisaidia sanahongera sana....usisahau kuwa penye wengi kuna mengi...ukipata tatizo omba msaada utakachokipata kupitia msaada ata kama ni maneno mawili yatatosha sana kukuongoza.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] bonny ushaanza uhuni..Karibu tena sasa fanya hv kuna kiwanja eneo fulan hv njoo piemu nkupeleke ukanunue kina bloototh vishet na Wifi.
All in all Hongera and thanks for your appriciation to JF.
thank u sana aisee...Hongera mpendwa..haya ndio maneno............tuachane kabisa na ile kasumba ya 'kumuachia Mungu'....bali yeye tumuachie nafasi ya kutusimamia tukipambana...
Safi mkuu
Being woman is a gift
Wanawake simamen, msiwe wanyonge et kwa sabab ya jinsia
Wenzenu kina halima mdee na Ester Bulaya simnawaona?
Hayo ndio maneno mpendwa wangu once again hongera God is good all the time[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] bonny ushaanza uhuni..
pesa ishaisha palepale nilivyolipwa nilikua na plot mkononi!!