ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 19,579
- 44,825
Ni Jana tu niliweka thread ya kuuliza Kama sekunde kumi ukifanya unprotected sex unaweza kuambukizwa HIV. Nilijaribu kuficha kusema kwamba sio Mimi ila kiukweli mimi ndio nilikuwa mhusika Sasa dakika ya mwisho leo asubuhi nikamtafuta huyo mwanamke nikamwelezea kuwa sijapata usingizi siku mbili nahisi umeniambukiza coz story za mtaani zinasema umeungua.
Nikamuomba tukapime kama amenipa Basi nianze dozi ya PPE mapema coz masaa 72 yalikuwa yaishe leo saa mbili usiku, nikamuahidi nampa 10000 akakubali tukaenda wote kituoni. Nashukuru sana nimepona, wote Majibu yetu yanafanana hatuna maambukizi.
Nashauri msiwe mnasikiliza stori za watu ukisikia flani anao, jua sio kweli mpaka utibithishe kwa vipimo mwisho wa siku akanitunuku na show moja ila sirudii tena hiyo. Ndio ilikuwa ya mwisho aisee, hii amri ya sita ni ngumu kuishinda Mungu tusaidie.
Sent using Jamii Forums mobile app

Ukidumbukiza mara moja kwa muathirika unaambukizwa?
Kuna jamaa yangu anaomba mpeni jibu eti alikuwa kalewa Sasa akawa ameenda ku do Na muathirika Ila akawa amevaa condom Sasa katika mechi mdada sijui ndo kazidiwa akaichomoa condom makusudi jamaa kapeleka mashine Kama sekunde tano hivi kashtuka ikabidi a stop akavaa nyingine show ikaendelea Sasa...
www.jamiiforums.com
Sent using Jamii Forums mobile app