Mrejesho: Nimempa Malaya 10,000 ili nimpime Ukimwi

Ni Jana tu niliweka thread ya kuuliza Kama sekunde kumi ukifanya unprotected sex unaweza kuambukizwa HIV.nilijaribu kuficha kusema kwamba sio Mimi ila kiukweli me ndo nilikua mhusika Sasa dakika ya mwisho leo asubuhi nikamtafuta huyo mwanamke nikamwelezea kuwa sijapata usingiz siku mbili nahisi umeniambukiza coz story za mtaani zinasema umeungua nikamwomba tukapime Kama amenipa Basi nianze dozi ya PPE mapema coz masaa 72 yalikuwa yaishe leo saa mbili usiku nikamwahidi Nampa 10000 akakubali tukaenda wote kituoni.nashukuru Sana nimepona wote Majibu yetu yanafanana hatuna maambukizi.nashauri msiwe mnasikiliza stori za watu ukisikia flani anao jua sio kweli mpk utibithishe kwa vipimo mwisho wa siku akanitunuku Na show moja ila sirudii Tena hiyo ndo ilikuwa ya mwisho aisee hii amri ya sita Ni ngumu kuishinda Mungu tusaidie

View attachment 1686783View attachment 1686784

Sent using Jamii Forums mobile app
Kamuombe rematch si mpo clean aiseee
 
Pimeni na nimonia, ukimwi siku hizi mzungu katengeneza dawa unameza mara moja kwa mwezi na unaishi nayo sasa nimonia hii ikikupata hauchukui siku 3
 
Ni Jana tu niliweka thread ya kuuliza Kama sekunde kumi ukifanya unprotected sex unaweza kuambukizwa HIV.nilijaribu kuficha kusema kwamba sio Mimi ila kiukweli me ndo nilikua mhusika Sasa dakika ya mwisho leo asubuhi nikamtafuta huyo mwanamke nikamwelezea kuwa sijapata usingiz siku mbili nahisi umeniambukiza coz story za mtaani zinasema umeungua nikamwomba tukapime Kama amenipa Basi nianze dozi ya PPE mapema coz masaa 72 yalikuwa yaishe leo saa mbili usiku nikamwahidi Nampa 10000 akakubali tukaenda wote kituoni.nashukuru Sana nimepona wote Majibu yetu yanafanana hatuna maambukizi.nashauri msiwe mnasikiliza stori za watu ukisikia flani anao jua sio kweli mpk utibithishe kwa vipimo mwisho wa siku akanitunuku Na show moja ila sirudii Tena hiyo ndo ilikuwa ya mwisho aisee hii amri ya sita Ni ngumu kuishinda Mungu tusaidie

View attachment 1686783View attachment 1686784

Sent using Jamii Forums mobile app
Kazi kweli kweli, si bora tu utulie mwenyewe.
 
Haha daah,

PEP anapewa ambaye hajaambukizwa ili asipate maambukizi.

Ila Kama umepimwa ukakutwa umeathirika basi wanakuunganisha kwenye dozi moja kwa moja.
Wewe huelewi, PEP anapewa mtu ambaye ni negative lakini amelala na mtu ambaye ni positive. Yeye kasema amepima na huyo partner wake na wote wapo negative, hapo hakuna justification ya kumpa PEP. Angeweza kupewa kama status ya partner wake haijulikani mfano wale wanaobakwa.
 
Nakusa
Ni Jana tu niliweka thread ya kuuliza Kama sekunde kumi ukifanya unprotected sex unaweza kuambukizwa HIV.nilijaribu kuficha kusema kwamba sio Mimi ila kiukweli me ndo nilikua mhusika Sasa dakika ya mwisho leo asubuhi nikamtafuta huyo mwanamke nikamwelezea kuwa sijapata usingiz siku mbili nahisi umeniambukiza coz story za mtaani zinasema umeungua nikamwomba tukapime Kama amenipa Basi nianze dozi ya PPE mapema coz masaa 72 yalikuwa yaishe leo saa mbili usiku nikamwahidi Nampa 10000 akakubali tukaenda wote kituoni.nashukuru Sana nimepona wote Majibu yetu yanafanana hatuna maambukizi.nashauri msiwe mnasikiliza stori za watu ukisikia flani anao jua sio kweli mpk utibithishe kwa vipimo mwisho wa siku akanitunuku Na show moja ila sirudii Tena hiyo ndo ilikuwa ya mwisho aisee hii amri ya sita Ni ngumu kuishinda Mungu tusaidie

View attachment 1686783View attachment 1686784

Sent using Jamii Forums mobile app
Unaijua window period wewe?
 
Nakusa

Unaijua window period wewe?

Wewe unaeijua ungemuelezea.

Kirusi kikiwa kwenye phase hii hakiwezi kuambukizwa kutoka kwa mtu mmoja kwenda mwingine kwa njia ya ngono wala njia nyingine za kawaida za maambukizi.

Lakini pia hata kikifikia kuwa detectable bado kuna vigezo vingine vinahitajika hadi mtu kufikia hatua ya kuanza kuambukiza (hasa kwa kirusi cha sasa ambacho kimepunguzwa nguvu na ARV’s)
 
Usinikumbushe machungu! Ule sasa ndio ulikuwa UKIMWI mtu akilala unaweza hisi hakuna mtu kitandani
Pole sana,

Nilitaka tu kumkumbusha huyo bwana, vile sisi wanadamu wasahaulifu na wakaidi sana
 
Binafsi ningekushauri ungelianza tu dozi ya PEP...

Kuna uwezekano mkubwa mtu mwenye ngoma akapima na akaonekana hana ngoma...

Je, umejiuliza kwa nini umeandikiwa kikaratasi cha tarehe ya kurejelea tena kipimo?
Mkuu inawezekana jamaa hajapata ngoma, maana anasema kapiga tacko kumi akamaliza, hajapata mchubuko wowote.
 
Sikutishi ila tatizo la VVU ni kwamba vile virusi kama mwenye navyo kaambukizwa last week kipimo kitaonyesha negative ila maambukizi wakati wa awali ni makubwa na rahisi sana kuliko wakati vimeshasambaa mwilini na kuweka makazi. Utakuwa ulijiweka kwenye hatari endapo ulirudia tena ngono zembe na huyo usiyemwamini.

Baada ya miezi mitatu kapime tena ili kujihakikishia kuwa huna maambukizi.
 
wewe huelewi, PEP anapewa mtu ambaye ni negative lakini amelala na mtu ambaye ni positive. Yeye kasema amepima na huyo partner wake na wote wapo negative, hapo hakuna justification ya kumpa PEP. Angeweza kupewa kama status ya partner wake haijulikani mfano wale wanaobakwa
Naona umeanza kunielewa kidogo ila kuna issue mbili ambazo bado mhusika anapaswa kupewa PEP.

1. Nature ya kazi ya partner kuwa anafanya biashara ya kuuza mwili, yeye hata sisi hatujui alikutana na mtu mwenye status ipi kabla ya kukutana na mleta mada.

2. Vipimo vilivyotumika haviwezi kutoa majibu ndani ya muda mfupi ambao mleta mada kakutana na huyo partner wake kujua kama partner kaathirika au mleta mada.

PEP hutolewa kwa ajili ya kumkinga anayehitaji na maambukizi hata kama status ya aliyekutana naye haijulikani.

Sasa kwakua sex was unprotected with a night worker the good thing would have been to take PEP.

Mpaka hapo mleta mada kwa scenario hii kachemka na kilichobakia tu ni huruma za Mungu.
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
Wewe unaeijua ungemuelezea.

Kirusi kikiwa kwenye phase hii hakiwezi kuambukizwa kutoka kwa mtu mmoja kwenda mwingine kwa njia ya ngono wala njia nyingine za kawaida za maambukizi.

Lakini pia hata kikifikia kuwa detectable bado kuna vigezo vingine vinahitajika hadi mtu kufikia hatua ya kuanza kuambukiza (hasa kwa kirusi cha sasa ambacho kimepunguzwa nguvu na ARV’s)
Mkuu usidanganye miezi mi3 ya mwanzo ya mtu mwenye maambukizi ndicho kipindi anaweza ambukiza wengine kwa urahisi sana kwani virus wanazaana kwa kasi licha ya kwamba hawawezi kuwa detectable kwa baadhi ya vipimo...
 
Naona umeanza kunielewa kidogo ila kuna issue mbili ambazo bado mhusika anapaswa kupewa PEP.

1. Nature ya kazi ya partner kuwa anafanya biashara ya kuuza mwili, yeye hata sisi hatujui alikutana na mtu mwenye status ipi kabla ya kukutana na mleta mada.

2. Vipimo vilivyotumika haviwezi kutoa majibu ndani ya muda mfupi ambao mleta mada kakutana na huyo partner wake kujua kama partner kaathirika au mleta mada.

PEP hutolewa kwa ajili ya kumkinga anayehitaji na maambukizi hata kama status ya aliyekutana naye haijulikani.

Sasa kwakua sex was unprotected with a night worker the good thing would have been to take PEP.

Mpaka hapo mleta mada kwa scenario hii kachemka na kilichobakia tu ni huruma za Mungu.
Criteria za kutoa PEP ni mpaka mmoja wenu awe positive. Hiyo ni sheria so hawezi kupewa labda azipate kinyemela

Screening test yoyote lazima iwe na sensitivity kubwa kuliko specificity. Kwahiyo ni rahisi zaidi kipimo kukupa false positive kuliko false negative.

Pia uwezekano wa mtu kuambukiza akiwa kwenye window period ni mdogo. Kwa points hizo huyo jamaa hana vigezo vya kupewa PEP.
 
criteria za kutoa PEP ni mpaka mmoja wenu awe positive. Hiyo ni sheria so hawezi kupewa labda azipate kinyemela

screening test yoyote lazima iwe na sensitivity kubwa kuliko specificity. kwahiyo ni rahisi zaidi kipimo kukupa false positive kuliko false negative.

pia uwezekano wa mtu kuambukiza akiwa kwenye window period ni mdogo. kwa points hizo huyo jamaa hana vigezo vya kupewa PEP.
Huelewi. Nikusaidie, ukikutana na mtu aliyeambukizwa VVU last week kipimo kitaonyesha negative na wewe ukipima utakuwa negative ila risk ya yeye kukuambukiza ni kubwa sanaaaa kuliko miaka ya mbele pale ambapo virusi vimestablelize. Huyu kunywa PEP ni uhakika zaidi kwa sababu anaondoa risk kabisa ya kupata HIV. Hapa si suala la false negative na positive kwa ubovu wa kipimo ni suala la uwezo wa kipimo kutoa majibu kwa exposure ya muda mfupi.

KUNA VIPIMO VICHACHE SANA AMBAVYO NI GHARAMA VITAKUPA MAJIBU HATA KAMA UMEFANYA MAPENZI JANA UKAAMBUKIZWA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom