Mrejesho: Nimempa Malaya 10,000 ili nimpime Ukimwi

Nna kisa kama chako

2014 tulienda Sinza na binamu yangu mmoja na mshikaji wake. Sasa yule mshikaji akatupeleka kwenye danguro moja la malaya.

Tukaingia vizuri ndani, ilikuwa kama self ila kuna vichumbachumba humo na kila kichumba kina malaya.

Ndani tuliwakuta malaya wawili, toto moja hivi jeupe lilikuwa na nnye ya hatari, so tukawa jumla watu watano ndani.

Tukaagiza bia na sigara, wale malaya wakaanza kuzinywa na kuvuta mifegi, huku binamu yangu tayari ashaanza kumtomasa yule malaya mweupe. Ghafla stimu zimepanda, binamu anaanza kusema "aisee nna hamu ya kukutomb@, yule malaya akasema "we huwezi mchezo hata nikivua"... La haula, yule demu akavua, binamu anaanza kupiga game pale mbele ya macho yetu.

Tena style yenyewe Doggy halafu yule malaya anaanza kulia balaa. Nikaanza kujihisi uncomfortable, nikasogea kitandani kwa yule mwingine, nikaanza kushika na mimi, papasa hapa na pale. Mambo yakakolea, eti nilivyo bwege nikataka nizamishe kavu, malaya akaruka, chukua Condom hii hapa.

Sasa hapo nna kipupa, nikawa kama nashindwa kuivaa, daadeki akanivalisha pale kininja. Show imeanza tu, napress kwa kasi in out ka 20 times, ghafla annipush kifua "Condom imepasuka"!!! Chomoa chomoa..

Mmamaee, kuchomoa tu naangalia mashine limeloa lote, nikakimbilia bafuni nikaosha na maji fasta fasta, ila stimu zishakata sema vile nilikuwa nimekunywa kidogo sikuwaza.

Muda wa kuondoka nikachukua namba ya yule malaya. Sasa bana tulivyoondoka pale nimefika home, aisee sikulala usiku mzima, nikifikiria lile tukio. Nikahisi kabisa nimeukwaa Ukimwi, hofu ilinitesa sana ule usiku.

Kesho ikabidi nimpigie yule malaya, lengo ilikuwa ni kumshawishi tukapime ila sikumuambia wazi. Nikatengeneza urafiki, nikajifanya kama nimemuelewa sana na nampenda hata nimuoe, basi akafurahi kweli.

Kuna siku nikamuambia nna hamu ya ku do lakini kavu kavu. Ila nikamuambia unaonaje tukipima kwanza? Akaniambia anaogopa kupima kutokana na kazi anayofanya, nikamshawishi sana mwisho akakubali.

Hiyo siku Jumamosi nikawahi kutoka job mapema sana nikamuwahi Sinza, sasa nikamuambia mahali pa kupima tutapata wapi? Akaniambia kuna hospital moja ya wachina anapajua.

Mungu mwema bana, tumeenda pale tumepima wote tuko poa, nikawa natoka ile hospitali nikijihisi mshindi.

Kilichofuata baada ya hapo nilimpa buku tano halafu nikamuambia kuna mahali nnawahi mara moja jioni ningekuja.

Nikapotea mazima sikutokea, nikaapa sita sex tena na malaya. Japo baada ya hapo niliendelea kuwasiliana naye lakini na nlikuwa namuuliza mengi sana kuhusu yeye.

Ni miaka sasa kama 5 imepita sijui atakuwa kwenye status gani huyu dada.
 
Nna kisa kama chako

2014 tulienda sinza na binamu yangu mmoja na mshikaji wake. Sasa yule mshikaji akatupeleka kwenye danguro moja la malaya.

Tukaingia vizuri ndani, ilikuwa kama self ila kuna vichumbachumba humo, na kila kichumba kina malaya.

Ndani tuliwakuta malaya wawili, toto moja hivi jeupe lilikuwa na nnye ya hatari, so tukawa jumla watu watano ndani.

Tukaagiza bia na sigara, wale malaya wakaanza kuzinywa na kuvuta mifegi, huku binamu yangu tayari ashaanza kumtomasa yule malaya mweupe. Ghafla stimu zimepanda, binamu anaanza kusema "aisee nna hamu ya kukutomb@, yule malaya akasema "we huwezi mchezo hata nikivua"... La haula, yule demu akavua, binamu anaanza kupiga game pale mbele ya macho yetu.

Tena style yenyewe Doggy halafu yule malaya anaanza kulia balaa. Nikaanza kujihisi uncomfortable, nikasogea kitandani kwa yule mwingine, nikaanza kushika na mimi, papasa hapa na pale. Mambo yakakolea, eti nilivo bwege nikataka nizamishe kavu, malaya akaruka, chukua Condom hii hapa.

Sasa hapo nna kipupa, nikawa kama nashindqa kuivaa, daadeki akanivalisha pale kininja. Show imeanza tu, napress kwa kasi in out ka 20 times, ghafla annipush kifua "Condom imepasuka"!!! Chomoa chomoa..

Mmamaee, kuchomoa tu naangalia mashine limeloa lote, nikakimbilia bafuni nikaosha na maji fasta fasta, ila stimu zishakata sema vile nlikuwa nimekunywa kidogo sikuwaza.

Mda wa kuondoka nikachukua namba ya yule malaya. Sasa bana tulivoondoka pale nimefika home, aisee sikulala usiku mzima, nikifikiria lile tukio. Nikahisi kabisa nimeukwaa Ukimwi, hofu ilinitesa sana ule usiku.

Kesho ikabidi nimpigie yule mraya, lengo ilikuwa ni kumshawishi tukapime ila sikumuambia wazi. Nikatengeneza urafiki, nikahifanya kama nimemuelewa sana na nampenda hata nimuowe, basi akafurahi kweli.

Kuna siku nikamuambia nna hamu ya ku do lakini kavu kavu. Ila nikamuambia unaonaje tukipima kwanza? Akaniambia anaogopa kupima kutokana na kazi anayofanya, nikamshawishi sana mwisho akakubali.

Hiyo siku jumamosi nikawahi kutoka job mapema sana nikamuwahi sinza, sasa nikamuambia mahali pa kupima tutapata wapi? Akaniambia kuna hospital moja ya wachina anapajua.

Mungu mwema bana, tumeenda pale tumepima wote tuko poa, nikawa natoka ile hospitali nikijihisi mshindi.

Kilichofuata baada ya hapo nilimpa buku tano halafu nikamuambia kuna mahali nnawahi mara moja jioni ningekuja.

Nikapotea mazima sikutokea, nikaapa sita sex tena na malaya. Japo baada ya hapo niliendelea kuwasiliana naye lakini na nlikuwa namuuliza mengi sana kuhusu yeye.

Ni miaka sasa kama 5 imepita sijui atakuwa kwenye status gani huyu dada.
Ila watu mna mioyo ya kijasiri, hivi ni nini kinawasukuma mpaka mnaenda kuto***mb malaya tena wanaojiuza live... Ukame unatokea lakini dah hata demu nikukutana nae kitaa ninamchunguza sana kama ana mabwana kibao namtema sijui naonaje
 
Ni Jana tu niliweka thread ya kuuliza Kama sekunde kumi ukifanya unprotected sex unaweza kuambukizwa HIV. Nilijaribu kuficha kusema kwamba sio Mimi ila kiukweli mimi ndio nilikuwa mhusika Sasa dakika ya mwisho leo asubuhi nikamtafuta huyo mwanamke nikamwelezea kuwa sijapata usingizi siku mbili nahisi umeniambukiza coz story za mtaani zinasema umeungua.

Nikamuomba tukapime kama amenipa Basi nianze dozi ya PPE mapema coz masaa 72 yalikuwa yaishe leo saa mbili usiku, nikamuahidi nampa 10000 akakubali tukaenda wote kituoni. Nashukuru sana nimepona, wote Majibu yetu yanafanana hatuna maambukizi.

Nashauri msiwe mnasikiliza stori za watu ukisikia flani anao, jua sio kweli mpaka utibithishe kwa vipimo mwisho wa siku akanitunuku na show moja ila sirudii tena hiyo. Ndio ilikuwa ya mwisho aisee, hii amri ya sita ni ngumu kuishinda Mungu tusaidie.

View attachment 1686783View attachment 1686784

Sent using Jamii Forums mobile app
Bapo bado kabisa inatakiwa ukapime mara 3. Kila la heri bwashee anza dawa
 
Kapime tena baada ya miezi 3 then rudia tena pia pima katika kituo tofauti na cha mwanzo kwa kila unavyorudia kupima #RETIRED_STAFF
 
Ila watu mna mioyo ya kijasiri, hivi ni nini kinawasukuma mpaka mnaenda kuto***mb malaya tena wanaojiuza live... Ukame unatokea lakini dah hata demu nikukutana nae kitaa ninamchunguza sana kama ana mabwana kibao namtema sijui naonaje
Hahahahaa... ni Nyege tu mkuu.. ila nimekoma,,, by that time nilikuwa 23 tu... pupa nyingi
 
Nna kisa kama chako

2014 tulienda Sinza na binamu yangu mmoja na mshikaji wake. Sasa yule mshikaji akatupeleka kwenye danguro moja la malaya.

Tukaingia vizuri ndani, ilikuwa kama self ila kuna vichumbachumba humo na kila kichumba kina malaya.

Ndani tuliwakuta malaya wawili, toto moja hivi jeupe lilikuwa na nnye ya hatari, so tukawa jumla watu watano ndani.

Tukaagiza bia na sigara, wale malaya wakaanza kuzinywa na kuvuta mifegi, huku binamu yangu tayari ashaanza kumtomasa yule malaya mweupe. Ghafla stimu zimepanda, binamu anaanza kusema "aisee nna hamu ya kukutomb@, yule malaya akasema "we huwezi mchezo hata nikivua"... La haula, yule demu akavua, binamu anaanza kupiga game pale mbele ya macho yetu.

Tena style yenyewe Doggy halafu yule malaya anaanza kulia balaa. Nikaanza kujihisi uncomfortable, nikasogea kitandani kwa yule mwingine, nikaanza kushika na mimi, papasa hapa na pale. Mambo yakakolea, eti nilivyo bwege nikataka nizamishe kavu, malaya akaruka, chukua Condom hii hapa.

Sasa hapo nna kipupa, nikawa kama nashindwa kuivaa, daadeki akanivalisha pale kininja. Show imeanza tu, napress kwa kasi in out ka 20 times, ghafla annipush kifua "Condom imepasuka"!!! Chomoa chomoa..

Mmamaee, kuchomoa tu naangalia mashine limeloa lote, nikakimbilia bafuni nikaosha na maji fasta fasta, ila stimu zishakata sema vile nilikuwa nimekunywa kidogo sikuwaza.

Muda wa kuondoka nikachukua namba ya yule malaya. Sasa bana tulivyoondoka pale nimefika home, aisee sikulala usiku mzima, nikifikiria lile tukio. Nikahisi kabisa nimeukwaa Ukimwi, hofu ilinitesa sana ule usiku.

Kesho ikabidi nimpigie yule malaya, lengo ilikuwa ni kumshawishi tukapime ila sikumuambia wazi. Nikatengeneza urafiki, nikajifanya kama nimemuelewa sana na nampenda hata nimuoe, basi akafurahi kweli.

Kuna siku nikamuambia nna hamu ya ku do lakini kavu kavu. Ila nikamuambia unaonaje tukipima kwanza? Akaniambia anaogopa kupima kutokana na kazi anayofanya, nikamshawishi sana mwisho akakubali.

Hiyo siku Jumamosi nikawahi kutoka job mapema sana nikamuwahi Sinza, sasa nikamuambia mahali pa kupima tutapata wapi? Akaniambia kuna hospital moja ya wachina anapajua.

Mungu mwema bana, tumeenda pale tumepima wote tuko poa, nikawa natoka ile hospitali nikijihisi mshindi.

Kilichofuata baada ya hapo nilimpa buku tano halafu nikamuambia kuna mahali nnawahi mara moja jioni ningekuja.

Nikapotea mazima sikutokea, nikaapa sita sex tena na malaya. Japo baada ya hapo niliendelea kuwasiliana naye lakini na nlikuwa namuuliza mengi sana kuhusu yeye.

Ni miaka sasa kama 5 imepita sijui atakuwa kwenye status gani huyu dada.
Mkuu condom huwa aipasuki ukiona imepasuka ujue huna elimu ya kuivaa unajivalia tu,jitahidi upitie kwenye lile box utaona hatua za uvaaji ukizifuata condom haiwezi pasuka.
 
Halafu alivyo mjinga anamuambia demu achague pa kwenda kupima......hawa wadada wanachezaga dili na madaktari wa izo hospitali
 
Wewe unaeijua ungemuelezea.

Kirusi kikiwa kwenye phase hii hakiwezi kuambukizwa kutoka kwa mtu mmoja kwenda mwingine kwa njia ya ngono wala njia nyingine za kawaida za maambukizi.

Lakini pia hata kikifikia kuwa detectable bado kuna vigezo vingine vinahitajika hadi mtu kufikia hatua ya kuanza kuambukiza (hasa kwa kirusi cha sasa ambacho kimepunguzwa nguvu na ARV’s)
Kwa taarifa yako tu mtu aliyekuwa na hiv stage hiyo ya window period ata test negative ila anakuwa veery infectious .

Though inahitajika direct contact na damu yake kupitia michubuko , unaweza kufuatilia zaidi though umejitahidi pi kujibu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom