Kijibabu
JF-Expert Member
- Apr 3, 2016
- 463
- 586
Sawa nimeelewa, ila concern yangu atapewa na nani? Maana procedure zake ni complicatedHuelewi. Nikusaidie, ukikutana na mtu aliyeambukizwa VVU last week kipimo kitaonyesha negative na ww ukipima utakuwa negative ila risk ya yeye kukuambukiza ni kubwa sanaaaa kuliko miaka ya mbele pake ambapo virusi vimestablelize. Huyu kunywa PEP ni uhakika zaidi kwa sababu anaondoa risk kabisa ya kupata HIV. Hapa si suala la false negative na positive.
Recently infected individuals: A priority for HIV prevention
CATIE - Canada's source for HIV and hepatitis C information
www.catie.ca