Mrejesho: Nimempa Malaya 10,000 ili nimpime Ukimwi

Kipimo cha HIV huwa kinaonyesha kuwa mtu ni positive kama ameambukizwa miezi mitatu nyuma. Kama mtu ameambukizwa miezi miwili au mmoja nyuma hakiwezi kuonyesha. What if huyo dada yetu aliambukizwa miezi miwili au mmoja nyuma? Mkuu nakuhakikishia kuwa umepata ngoma!😄😄😄
Hio si kweli, miezi 3 imewekwa kama siku za juu kabisa kwa mtu ambae mwili wake unachelewa kutoa antibody, hivi vipimo vya rapid vinaanza kuonyesha 20 days hadi miezi mitatu, ukishapima baada ya miezi mi 3 toka siku ya mgegedo ndipo unakuwa na uhakika...
 
Huelewi. Nikusaidie, ukikutana na mtu aliyeambukizwa VVU last week kipimo kitaonyesha negative na wewe ukipima utakuwa negative ila risk ya yeye kukuambukiza ni kubwa sanaaaa kuliko miaka ya mbele pale ambapo virusi vimestablelize. Huyu kunywa PEP ni uhakika zaidi kwa sababu anaondoa risk kabisa ya kupata HIV. Hapa si suala la false negative na positive kwa ubovu wa kipimo ni suala la uwezo wa kipimo kutoa majibu kwa exposure ya muda mfupi.

KUNA VIPIMO VICHACHE SANA AMBAVYO NI GHARAMA VITAKUPA MAJIBU HATA KAMA UMEFANYA MAPENZI JANA UKAAMBUKIZWA
Uongo mtupu, kwenye rapid za 4th gen hizi combo ndizo zinapima antibody na antigen ambapo within 2 weeks zinagundua kama umeathirika, lakini hiyo ya kwako ya 1 day, mhhh hata PCR haiwezi....
 
Kipimo cha HIV huwa kinaonyesha kuwa mtu ni positive kama ameambukizwa miezi mitatu nyuma. Kama mtu ameambukizwa miezi miwili au mmoja nyuma hakiwezi kuonyesha. What if huyo dada yetu aliambukizwa miezi miwili au mmoja nyuma? Mkuu nakuhakikishia kuwa umepata ngoma!
Kha!kha!,wee jamaa Kwanini unapenda kumhakikishia jambo baya mwenzako??.
 
Kipimo cha HIV huwa kinaonyesha kuwa mtu ni positive kama ameambukizwa miezi mitatu nyuma. Kama mtu ameambukizwa miezi miwili au mmoja nyuma hakiwezi kuonyesha. What if huyo dada yetu aliambukizwa miezi miwili au mmoja nyuma? Mkuu nakuhakikishia kuwa umepata ngoma!😄😄😄
Marakebisho kidogo mkuu!! Kipimo kinauwezo wa kuonyesha baada ya mwezi mmoja tokea kupata maambukizi kwa asilimia 96-99.9
 
Ni Jana tu niliweka thread ya kuuliza Kama sekunde kumi ukifanya unprotected sex unaweza kuambukizwa HIV. Nilijaribu kuficha kusema kwamba sio Mimi ila kiukweli mimi ndio nilikuwa mhusika Sasa dakika ya mwisho leo asubuhi nikamtafuta huyo mwanamke nikamwelezea kuwa sijapata usingizi siku mbili nahisi umeniambukiza coz story za mtaani zinasema umeungua.

Nikamuomba tukapime kama amenipa Basi nianze dozi ya PPE mapema coz masaa 72 yalikuwa yaishe leo saa mbili usiku, nikamuahidi nampa 10000 akakubali tukaenda wote kituoni. Nashukuru sana nimepona, wote Majibu yetu yanafanana hatuna maambukizi.

Nashauri msiwe mnasikiliza stori za watu ukisikia flani anao, jua sio kweli mpaka utibithishe kwa vipimo mwisho wa siku akanitunuku na show moja ila sirudii tena hiyo. Ndio ilikuwa ya mwisho aisee, hii amri ya sita ni ngumu kuishinda Mungu tusaidie.

View attachment 1686783View attachment 1686784

Sent using Jamii Forums mobile app
Rest in peace nguvu za kiume.


Umesex sekunde kumi????
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom