wepson
JF-Expert Member
- Mar 31, 2014
- 831
- 219
Habari wana MMU bila shaka mmesherekea sikukuu ya Chrismass na Mwaka mpya vizuri na kwa amani,ingawa jana kundi la Panya Road limetikisa Mji maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar Es Salaam kama Sinza ,Mwananyamala, Kinondoni ,Temeke na Kinyerezi na kusababisha baadhi ya maduka kufungwa mapema.
Nirudi kwenye maada ya msingi kwa kweli napenda kurudisha shukrani zangu za dhati hapa jukwaani kwani nilitangaza kutafuta Rafiki wa Kike awe aliyekomaa kiakili/Kifikra (matured) ,kwa kweli nashukuru nimekutana na mwanajamvi mmoja hapa ambaye ni so serioous na kwa kweli tunaelewana vizuri sana.
Na tumepanga mambo mengi mazuri kwa mwaka huu bilka shaka napenda kutoa shukrani zangu za dhati kwa wajamvi wote walio jitokeza ingawa wengine walikua si jinsia husika na huku wengine wakiwa na umri uliopita vigezo .
Pia napenda kupeleka shukrani zangu za dhati kwa Moderator na mmiliki wa jamii forum kwa kutuwekea Jukwaa hili kwani limekua msaada kwetu kimawazo na kimaendeleo pale linapotumika kama lilivyopangwa na mwanzilishi. Asante sana wenu Wepson