ranyia
Senior Member
- Dec 23, 2014
- 146
- 80
Sidhani ila ndo sitokaa kufikiri tena wala si lazima kuoa au kuwa na mwenza
Mambo ya kufanya majiribio na maisha Mimi siwezi kwa kweli acha niwe mshamba
Umeongea kwa uchungu pole. , usijal muda ukifika utampata tu wa ubavu wako usichoke kumuomba mungu