Kila la kheri mwaya.
Basi sawa.......ili jukwaa liendelea kunata na beat ndugu wepson..........wezesha basi kwa kitu kidogo ili na wengine wafaidi kama wewe..........
Sihitaji yoyote aitwaye Mwanamke katika maisha yangu nitajifunza njia mbadala za kutimiza haja zangu
Unachangia pesa.........wasiliana na Invisible........
Sitaki kuserebuka sitaki majanga sitaki penda tena nataka kutamani nitakuwa nasema dada nimekutamani tupige game la kirafiki nimejifunza penda Only happen in movie
Sihitaji yoyote aitwaye Mwanamke katika maisha yangu nitajifunza njia mbadala za kutimiza haja zangu
Sihitaji yoyote aitwaye Mwanamke katika maisha yangu nitajifunza njia mbadala za kutimiza haja zangu
Pole sana Superbrand lakini punguza hasira, utapata wako na wewe atakayekusahaulisha machungu yote.