Mrejesho: Naomba msaada wa ada

Ok naomba unitumie majina yako yote ambayo ni halisi kwenye cheti maana nipo Singida now j3 nifuatilie niwaletee wanajamvi mrejesho
Ahsante Mkuu fuatilia, nasi tutakuunga mkono.
 
Bahati mbaya Mpauko wengine kati ya ulowafuata hapa KUWAOMBA NA WAKAKUTOSA wamepanda vyeo! We huko huendako utakuwa na CHEO kikubwa sana na siku wao pia WAKIJA huko uliko na wakakuomba msaada huku wakilia na kusaga meno ndugu yangu USISITE KUWASAIDIA na KUWAKUMBUSHA pia walivyokutosa huku DUNIANI.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tusilaumiane muda huu Ila tusameheane na kutiana moyo!tujifunze kwa uzembe tulioufanya then tumuombee marehemu apumzke Pema
,

Members tubadilike,tuifanye jf kuwa tofauti na Facebook kwa kusaidiana pia katika shida na raha!
Sisi sote ni ndugu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwizi huyooooo mwizii jamii forums mwizi kaingia jamii forums.Members kaeni mbali na Mleta mada mtalia kilio Cha mbwa Koko.Mtatapeliwa mchana kweupe jua linawaka
Dah nyota ndogo aliimba "kuna watu na viatu"
 
Mwizi huyooooo mwizii jamii forums mwizi kaingia jamii forums.Members kaeni mbali na Mleta mada mtalia kilio Cha mbwa Koko.Mtatapeliwa mchana kweupe jua linawaka

We dada hebu Kemea hiyo roho ya shetani, sio wewe huyo trust me, bora ungeenda wewe Mpaiko abaki
 
Huyu jamaa alistruggle sana...dah!
ni vyema kusaidia mtu bila kujali anakutapeli ama laa....
inaumiza sana kutokumsaidia mtu mwenye uhitaji
 
Huyu jamaa,!!!! MUNGU MUWEKE MAHALI PEMA PEPONI.
 
Angesaidiwa fasta,Labda angekua demu mwenye mswambwanda.Inasikitisha sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…