Mrejesho: Nafanyiwa sexual harassment na msichana wangu wa kazi

Aisee wanawake bana! Sa ye yuko mbali anakupima kwa kukusogezea binti kifuani chuchu konzi dah asa ye anafikiri ata ukichepuka lazima iwe kwa binti wa kazi mtaani, makazini, hakuna wanawake
 
Siku kadhaa nyuma nilileta uzi unaoelezea jinsi msichana wangu wa kazi anavyonifanyia vituko.
Baada ya Yule binti kulewa na kulala kwenye kochi, nikampeleka chumbani kwake nikamlaza kitandani.
Kesho yake asubuhi nikamwita sebuleni na kumkanya vikali juu ya mwenendo wake.
Sikuishia hapo, nikampigia simu mke wangu na huyo binti akiwepo, nikaweka loud speaker, nikamweleza mke wangu yoooote. Mke wangu alikuwa kimya akisikiliza.
Ndipo Yule binti kwenye huo mkutano akasema ni mke wangu ndio anamtuma. Akasema huwa anatumia simu za wale Mabinti wawili wadogo waliopo nyumbani kuwasiliana, na huo ulikuwa Ni mpango mahsusi kunipima kiwango changu Cha uaminifu.
Baadae mke wangu akanipigia simu na kuniomba msamaha kwa mbinu zake za kipumbavu.
Wanandoa, hasa kina mama. Msiwawekee vishawishi waume wenu viwezavyo kuvunja ndoa zenu.
Vipi ningetembea na Yule binti kisha akashika mimba, Nani ambaye angekuwa analia Kama sio mke wangu mwenyewe ambaye ametasababisha hayo yote?
Kuweni waungwana
Kwa hili bandiko, ume -act kama kichwa cha familia.

Sasa huyo the said wife sijui yu kundi gani shabashi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanawake bana! Hata akue kuna akili ya kitoto, sasa kama ni kuchepuka si unachepuka nje ukirudi ndani unaendelea kumheshimu ata kwa hao mabinti wa kazi, wanaume wanaokula mabinti wa kazi za ndani ni wapumbavu tu kama wapumbavu wengine bora kuchepuka nje
 
Kupatwa kwa Mume
Siku kadhaa nyuma nilileta uzi unaoelezea jinsi msichana wangu wa kazi anavyonifanyia vituko.
Baada ya Yule binti kulewa na kulala kwenye kochi, nikampeleka chumbani kwake nikamlaza kitandani.
Kesho yake asubuhi nikamwita sebuleni na kumkanya vikali juu ya mwenendo wake.
Sikuishia hapo, nikampigia simu mke wangu na huyo binti akiwepo, nikaweka loud speaker, nikamweleza mke wangu yoooote. Mke wangu alikuwa kimya akisikiliza.
Ndipo Yule binti kwenye huo mkutano akasema ni mke wangu ndio anamtuma. Akasema huwa anatumia simu za wale Mabinti wawili wadogo waliopo nyumbani kuwasiliana, na huo ulikuwa Ni mpango mahsusi kunipima kiwango changu Cha uaminifu.
Baadae mke wangu akanipigia simu na kuniomba msamaha kwa mbinu zake za kipumbavu.
Wanandoa, hasa kina mama. Msiwawekee vishawishi waume wenu viwezavyo kuvunja ndoa zenu.
Vipi ningetembea na Yule binti kisha akashika mimba, Nani ambaye angekuwa analia Kama sio mke wangu mwenyewe ambaye ametasababisha hayo yote?
Kuweni waungwana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1. Hongera kwa kuepa kihunzi.
2. Uaminifu kwa ndoa wa huyo mwanamke unanitoa mashaka.
3. Isije kuwa ana mpango wa talaka. Kama ni asili ya Lindi, Mtwara, Pwani ...mulika mwizi.
4. Ndoa, ndoano. Ee Mwenyezi Mungu utusaidie
 
Back
Top Bottom