Mrejesho: Nafanyiwa sexual harassment na msichana wangu wa kazi

Kamwe siwezi Fanya ujinga huo, nimtege mume wangu ili iweje.

Nilikua natabia ya kijifanya long no kwa mime wangu natafuta lain mpya alafu naanza kumtongoza mwanzo akawa ananiambia kuna MTU ananisumbua, sasa Siku moja nikatafuta lain mpya nikamtega tena kumbe alinijua ni mm

Akaanza kukubali na kujifanya kuniponda na kuanza kumuahid ahad kemkem, roho iliniuma nachat nae huku najikaza, jion narud home kanikuta nimenywea alafu yy huko happy namwambia chakula anasema nimeshakula huko nilipotoka anaanza kunitambia yaan hapa nipo mwepeees,

Nikaanza kulia, yy yupo bize tu hata kunibembelza hakuna kanikaushia siku2 nyumban hali akija yupo bize na cm yke.

Nikajisemea mm c ndio nimemtega sasa mbona kama anafanya kweli au kuna mtu mwingine amemtega na wamekubaliana nikaanza jihisi wivu na kukonda siku 2, baada ya kuniona nazidi kulia kila siku

Ndo akaniambia ukome kunitega, nimekujua niww sna, maana muandiko wako naujua na ww ndo mwenye tabia hiyo.
Sins mchepuko wowote nilikua nakula mgahawan kukurusha roho tu ili ukome kunitega.

Tokea siku hiyo nikawa niameacha na nimekoma kumtega mume wangu. Ila nilijuta kumfaham

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah we jamaa unaenda mbinguni haaaki khaaa au demu hana mvuto sema ukweli uende mbinguni Bujibuji haiwezekana aiseee
Siku kadhaa nyuma nilileta uzi unaoelezea jinsi msichana wangu wa kazi anavyonifanyia vituko.
Baada ya Yule binti kulewa na kulala kwenye kochi, nikampeleka chumbani kwake nikamlaza kitandani.
Kesho yake asubuhi nikamwita sebuleni na kumkanya vikali juu ya mwenendo wake.
Sikuishia hapo, nikampigia simu mke wangu na huyo binti akiwepo, nikaweka loud speaker, nikamweleza mke wangu yoooote. Mke wangu alikuwa kimya akisikiliza.
Ndipo Yule binti kwenye huo mkutano akasema ni mke wangu ndio anamtuma. Akasema huwa anatumia simu za wale Mabinti wawili wadogo waliopo nyumbani kuwasiliana, na huo ulikuwa Ni mpango mahsusi kunipima kiwango changu Cha uaminifu.
Baadae mke wangu akanipigia simu na kuniomba msamaha kwa mbinu zake za kipumbavu.
Wanandoa, hasa kina mama. Msiwawekee vishawishi waume wenu viwezavyo kuvunja ndoa zenu.
Vipi ningetembea na Yule binti kisha akashika mimba, Nani ambaye angekuwa analia Kama sio mke wangu mwenyewe ambaye ametasababisha hayo yote?
Kuweni waungwana

Bora wewe unafanyiwa sexual harassment. Mimi huku nilipo nafanyiwa presidential harassment. U can imagine the feelings.
 
Hata mimi nilisema usitembee naye Ila kwa hii episode ya 2 naona kama hii story unatupanga coz wanaume tuna siri kumkanya ungeweza lakini ingekua kweli hakika ungemfichia siri binti huyu ningumu kumsemea kwa mkeo hata kama unampendaje but karibu kwa 3rd epesode
 
Siku kadhaa nyuma nilileta uzi unaoelezea jinsi msichana wangu wa kazi anavyonifanyia vituko.
Baada ya Yule binti kulewa na kulala kwenye kochi, nikampeleka chumbani kwake nikamlaza kitandani.
Kesho yake asubuhi nikamwita sebuleni na kumkanya vikali juu ya mwenendo wake.
Sikuishia hapo, nikampigia simu mke wangu na huyo binti akiwepo, nikaweka loud speaker, nikamweleza mke wangu yoooote. Mke wangu alikuwa kimya akisikiliza.
Ndipo Yule binti kwenye huo mkutano akasema ni mke wangu ndio anamtuma. Akasema huwa anatumia simu za wale Mabinti wawili wadogo waliopo nyumbani kuwasiliana, na huo ulikuwa Ni mpango mahsusi kunipima kiwango changu Cha uaminifu.
Baadae mke wangu akanipigia simu na kuniomba msamaha kwa mbinu zake za kipumbavu.
Wanandoa, hasa kina mama. Msiwawekee vishawishi waume wenu viwezavyo kuvunja ndoa zenu.
Vipi ningetembea na Yule binti kisha akashika mimba, Nani ambaye angekuwa analia Kama sio mke wangu mwenyewe ambaye ametasababisha hayo yote?
Kuweni waungwana
Mwanamke mpumbavu huivunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe, samahan ila mke ni mpumbavu

Kaka mkubwa hii stori utakuwa umeikatisha, haiwezekani usile hiyo kitu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom