MREJESHO: Msaada wa bima ya afya

Umelipia Tsh Kwa mwaka hiyo Resolution? Ni wewe au Familia nzima umeikatia?
mimi mwenyewe.kama unavoona pale imeandikwa INDIVIDUAL.malipo ni kwa mwaka
sina familia.na malipo yapo aina mbili yamepangwa katika umri..kadri umri unavyopanda na gharama inapanda
 
Umefanikiwaje mkuu shusha nondo itusaidie na wengine!
 
Hongera sana kwa kupata bima ya Afya.

Nje ya mada....
Jina lako tumeshaliona(Ni jina zuri), Umri wako tumeuona(Una miaka 25), Jinsia yako tumeujua(jinsia ya kike).

Kilichobakia ni kimoja tu. Tunahitaji picha yako(Naamini unalipa vyema, kitu cha uhakika!!!). Sasa uwanja ni wako, ili hatua nyingine njema ianze hapa hapa JF....
 
mkuu bana hebu acha hizo
 
mkuu bana hebu acha hizo
Kiujumla uko vizuri. Ukweli tutausema tu...

Jina zuri, umri mdogo(binti mbichi kabisa), kujijali(Afya kwanza), Juhudi binafsi(Umepambana mpaka kupata bima ya Afya), Muaminifu/Uungwana (Umetimiza lengo na kutupa mrejesho wa bima ya Afya).
Nini tena kimebaki? Picha Picha Picha Picha Picha.....
 
Haya isubiri inakuja
 
Hujambo Jackline?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…