Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,487
- 96,980
Nami ni baba Paroko... yatupasa tujumuike pamoja kwenye hili tumshinde shetani...Me nimeamua kuwa mtawa babuu😎😃
Nami ni baba Paroko... yatupasa tujumuike pamoja kwenye hili tumshinde shetani...Me nimeamua kuwa mtawa babuu😎😃
In 24 hours?
Sema ulifungua thread ya kwanza ukiwa umesha andaa na mrejesho.
Na for the fact kwamba najua unayemkusudia ni nani, Aggy, I advise you kushukuru kwa chochote mtu huyo alichokufanyia, kuwa na moyo wa shukrani.
This is too bad, and too unthankful.
Mungu unayesema amekuona, unamdhihaki. You put too much expectations into this.
Crap.
Kwahiyo mnahisi haiwezekani? Inawezekana kabisaaaaaaa.Kiongozi don't take JF too serious. Kuna thread zinaanzishwa kuchangamsha jamvi tu.
Ndo kama hivi sasa haijafika hata masaa 48 mtu ambaye hajawahi hata kupewa handshake kashajulikana tabia zake chafu...
Jiulize na ujijibu...
Wengine zaidi ya miaka kumi hatujawahi kuhisi kama wenza wetu wanatutenda nini pamoja na kuwafuatilia
Bibie lazima aliweka private investigator... tena mstaafu wa FBI
Njoo twende parokia ya mwenye heri anwarite..au wasemaje??mambo yashakuwa mgumu mwenzaInabidi tu mwenza.
Punguzeni kumchunguza bata hamtomla
Halafu mjuage hakuna mwanaume/mwanamke wa peke yako hayupo
Muhimu kabla hamjaunganisha tupu zenu pimeni/tumieni kinga
Humu wamo wanaume malaya wa kutupwa na vile wanawake malaya wa kutupwa wanaojiuza na kuuza wenzao
Take care
Sent using Jamii Forums mobile app
yes..ushauri mzuri huu kbs
😂😂😂😂ntake radhi W...unadhani sijipendi??Ushaanza kunitisha Sasa, Kuna mtu umeenda nae kavu humu bila kupima?
Shikamoo.
Kauli niliyoi'highlight' siafikiani na ninyi.
Inawezekana mme-experience watu wa hivyo ila haimaanishi wote wapo/tupo hivyo.Pia inamaanisha kuwa ninyi sio waaminifu(kama sijaelewa vibaya).
Ngoja kwanza movie ichanganye kidogo mkuu, unataka tunyimwe umbeaIn 24 hours?
Sema ulifungua thread ya kwanza ukiwa umesha andaa na mrejesho.
Na for the fact kwamba najua unayemkusudia ni nani, Aggy, I advise you kushukuru kwa chochote mtu huyo alichokufanyia, kuwa na moyo wa shukrani.
This is too bad, and too unthankful.
Mungu unayesema amekuona, unamdhihaki. You put too much expectations into this.
Crap.
Hata Mimi nimeshangaa, kwanza ulikuwa wapi?😂😂😂😂ntake radhi W...unadhani sijipendi??
Hahahaha hatimaye Khantwe ndani ya kashfa ya ngono. Ndo ujue Mungu ananilipizia umavyonichunia wozapTena we ndo upo nae karibu kabisa.Nina uthibitisho wa hilo.sitanii
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante dada kwa tahadhali mwenye masikio atakuwa amesikiaPunguzeni kumchunguza bata hamtomla
Halafu mjuage hakuna mwanaume/mwanamke wa peke yako hayupo
Muhimu kabla hamjaunganisha tupu zenu pimeni/tumieni kinga
Humu wamo wanaume malaya wa kutupwa na vile wanawake malaya wa kutupwa wanaojiuza na kuuza wenzao
Take care
Sent using Jamii Forums mobile app
Ooh hallelujah...thank you old pastor 😂Nami ni baba Paroko... yatupasa tujumuike pamoja kwenye hili tumshinde shetani...