Desire Dizaya
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,475
- 11,674
- Thread starter
- #41
Kiongozi don't take JF too serious. Kuna thread zinaanzishwa kuchangamsha jamvi tu.Huyu mtoto kazingua jombaa, yaani hizi ni shits anafanya.
Very disappointed.
Mmmmh siamini kama jamaa hajakukula kabisa au ahsante kwa mrejesho umenisaidia kuamini sio mimi nimeanzishiwa uzi.
Wonders shall never endthread imeunguliwa jana...leo kashuhudia makubwa ...lol
Punguzeni kumchunguza bata hamtomla
Halafu mjuage hakuna mwanaume/mwanamke wa peke yako hayupo
Muhimu kabla hamjaunganisha tupu zenu pimeni/tumieni kinga
Humu wamo wanaume malaya wa kutupwa na vile wanawake malaya wa kutupwa wanaojiuza na kuuza wenzao
Take care
Sent using Jamii Forums mobile app
MmmhTena we ndo upo nae karibu kabisa.Nina uthibitisho wa hilo.sitanii
Sent using Jamii Forums mobile app
Nashukuru kwa maoni yenu..nashukuru kwa kunipa moyo.
Kama binadamu kamili siwezi kuyaepuka mapenzi kwani ni mojawapo ya hitaji muhimu la binadamu..starehe yake.
Tangu nilete ule uzi Jana nimepokea maoni mengi,kuna walionidiss,walionipa moyo kuamini ni majukumu kweli,kuna walionipa onto kwamba anacheat au tuko wengi nami sio kipaumbele chake.but nashukuru Mwenyezi Mungu ananipenda mno..nliingia kwenye huzuni na sintofahamu niamini lipi..lakini babangu wa mbinguni akanionyesha.kanionyesha madudu ya huyu mwanaume,sio tu kanionyesha Bali akaamua kunidhihirishia na kunithibitishia nami nkaona yote..huwezi amini ni ndani ya muda mfupi tu..nilichoshudia ni vituko hasa.
..
Kama wanaume wote ni cheaters basi nabaki kivyangu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nitakuja baba paroko....😄
SawaKama hamjawahi onana hayo mazito yake umeyajuaje sasa? Ukiamua kujilipua humu hakikisha unatoa yote sio nusu nusu ili wengine wapone kama kweli hiyo ndio nia
uzi upi huo mkuu
Hahahahaha mbona wewe umegoma kunifuata pamoja na juhudi zangu zote zile?Babu wewe ni konki fayaa hata utajwe hawataacha kukufuata,.
Hahaha nife kwa kifaduro...?Kua namimi tu mama [emoji8]
Mbona hili dongo kama linanihusu mimi aisee?
Uzuri ni kwamba unatumia ID feki lakin ingekuwa Rili nem yako ungejuta
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]Tena we ndo upo nae karibu kabisa.Nina uthibitisho wa hilo.sitanii
Sent using Jamii Forums mobile app
Me nimeamua kuwa mtawa babuu😎😃Hahahahaha mbona wewe umegoma kunifuata pamoja na juhudi zangu zote zile?
Nanoa kipaji tu. Lakini vitendo nehii...
Usinitafutie ban mtoto wa watu, umesahau ule uzi hadi picha zikaletwa na maushahidi hadi ikabidi moderators wazuie watu kuchangia?
Rafiki nakusalimia.Watu bado wanauguza majeraha ya ule uzi wa codes mmeibua tena balaa jingine?
Mtaua watu na tetenasi.
Vipi tena?[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]
Jamnai wewe!!!
Mmh....haya mambo yanatisha uuwwii...narudia tena na tena bora niwe pekeangu tuu,.tena nafikiria kuwa mtawa😎
Ungemtaja lakini ungeokoa wengi...tutajie hata kwa code tuu jomonii,.tutajiongeza..haha
Inabidi tu mwenza.[emoji23][emoji23][emoji23]mwenza na ww unataka kuwa the NUN???