Mrejesho: Mpenzi alichepuka, anataka kurudi.

Mrejesho: Mpenzi alichepuka, anataka kurudi.

Karudi kwako kwasababu we ni mpole hivi,mjinga kidogo na huna msimamo.....
Kwahiyo Mr.plan B. karibisha kicheche chako icho ukipe hifadhi hapo mpk Mr.plan A akipatikana kitimke tena
 
wasalaam wanajamvi, miezi kadhaa imepita tangu nije hapa. mpenzi wangu alichepuka akanisahau,akanitupa kule. kiukweli niliumia sana, ilifika kipindi mpaka nilikuwa naugua yaani, ndugu msomaji huwezi kuamini kila nikimkumbuka nahisi nyongo inataka kunitoka.

kilichonileta hapa leo, kwa sasa nimeanza kupona majeraha, nimeanza kuzoea maisha bila yeye, cha kushangaza ameanza kurudi sasa. kunitafuta mara kwa mara, kunisalimia , kuna kipindi najikuta nawaza sijui niendelee kumtawanya tu halafu nimwache njia panda ( yaani najifanya nimerudi kiukwel ukweli akikolea na kuharibu kule ndo namtupa kule) , Au nawaza nimjibu vibaya ili imuume mpaka baasi...., najikuta nipo njia panda kuamua nimfanye nn huyu

Mpenzi wangu amechepuka, natamani kumkomesha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] et akikolea namtupa kule, you think its that easy
Goodluck
 
Brother, you're legally single until you get married. You don't have a "piece of paper" binding you to another person,
 
Karudi kwako kwasababu we ni mpole hivi,mjinga kidogo na huna msimamo.....
Kwahiyo Mr.plan B. karibisha kicheche chako icho ukipe hifadhi hapo mpk Mr.plan A akipatikana kitimke tena
ebana umenishauri katika namna ngumu kweli kweli

noted
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom