Mrejesho: Maneno ya kejeli ya mume wangu

hahahahahahhaa usijali mtasindikizwa mpk na magari ya washawasha... tracking device zitawahusu... !!!

Kwikwikwi...haya bwanw, napendekeza tuhamishiwe kwny kisiwa maalum na tuletewe mabikra 30 kila mmoja😎
 
unamrejeshea mahari?? alivyokugegenda ukazaa watoto wawili ukavuja damu matiti yako yamelala sahivi anaweza kuyarudisha?? mfyuuu
 
Pole kwa msala uliokuwa umekupata.
Ila zidi kumuomba Mola akusimamie katika
maisha yako usije umizwa tena.
 
Wanawake hamtabiriki jamaa anaweza kuja kipigika ktk maisha na akajakurudi kwako na kukuomba msamaha na ukamrudia tena!!! pole sana
 
mimi wala sioni kosa kubwa la kuwatenganisha hapo,sema wanawake wakishaingiwa na tamaa ya mali ni shida kweli sasa hapo vurugu zote ametumbulia macho hako kanyumba tu.

Pole ningekuwa mimi ningeachana na madai tu ya mali Mungu atakusaidia utavuna vingine vingi. Be careful asikutegeshee majambazi
 
Kwikwikwi...haya bwanw, napendekeza tuhamishiwe kwny kisiwa maalum na tuletewe mabikra 30 kila mmoja😎

aaaaa nshakuona na wewe ni team mchepuko sema unataka kuhalalisha kwa staili hyo....NAKUKATA!!!
 
dunia ngumu sana,mwanamke muzuri hupata mume asiye muelewa alkadhalka sisi waume bora tunapata wake wa ajabu ajabu alimradi shida sana!
 
mimi wala sioni kosa kubwa la kuwatenganisha hapo,sema wanawake wakishaingiwa na tamaa ya mali ni shida kweli sasa hapo vurugu zote ametumbulia macho hako kanyumba tu.

Huoni kosa mtu kuhamia kwa mchepuko na kumdanganya kama hajaoa, na wala sikuwa na shida na nyumba ila yeye ndio alisababisha hayo
 
Nataman kama tungeweza sikia na upande wa Pili kwani kutetea upande mmoja naona kama tunakosea kidogo, Lakin pia napata mashaka kama alivyosema mchangia mmoja KakaJambazi kutokana na maelezo ya mtoa uzi ni kwamba wakati wanamalizia nyumba kuna makubaliano waliyaweka sasa ukilitafakari hili vizuri utagundua kuwa mashaka yalianza tangu mwanzo wa ndoa so haikua imepangwa kudumu kwani kama mme na mke hamkupaswa kuanza kufikiria kuvunjika kwa ndoa mwanzoni. Kuna shida mahali hapa ndo maana nasisitiza lazima ujue me pia anasemaje. Otherwise Pole sana mdada.
 
Last edited by a moderator:

hayo mambo yanaongeleka kabisa hapo,mngeazia hata kanisani kama ni wakristo, naona hakuna nguvu kubwa iliyotumika kutatua mzozo badala yake nguvu kubwa inatumika kugombania nyumba,wewe ukishapewa hiyo nyumba au ikiuzwa mkagawana hela utakuwa na raha gani, unajua ni jinsi gani mtu anajibana mpaka anasimamisha kibanda kwa maisha haya ya mtanzania wa kawaida, na je kama mna watoto mumeshazungumzia mustakabadhi wa watoto, usiangalie upande mmoja tu maamuzi yako yanaweza kuvuruga kabisa familia, mambo ya wanaume kudanganya hawajaoa mbona ndio habari ya mjini kwa sasa, mpaka mumeo anahamia kwa mchepuko ujue kulikuwa na uzembe hapa katikati, haiwezekani tu from no where mwanaume anaondoka ghafla nyumbani, nakushauri ufikirie vizuri kabla ya maamuzi hayo unayoendelea kuchukua.

Yaani ni kwavile sijaelezea story yote, mimi na familia yote tulijitahidi sana kumuita kwenye vikao vya familia lakini hakutaka kuja na akasema hataki vikao wakati huo yuko kwa mchepuko. Kuhusu nyumba mimi nilikuwa sina shida ya nyumba na nilovyoondoka nilimwambia anirudishie gari yangu tu lakini na gari alikimbia nayo na akawa antumia na mchepuko. what do you want me to do, mbona na huyo mchepuko kamfukuzana sasa hivi yuko tu mtaani. Mchepuko wenyewe ulimpigia baba mkwe simu unalalamika jamaa hampi hela ya matumizi na kumpiga juu na pia analalamika kuwa jamaa ana wanawake wengine. Kiufupi jamaa ni kicheche na hajielewi nimevumilia mengi sana na wazazi wa upande wake hawajanilaumu kwa maamuzi yangu
 
Nataman kama tungeweza sikia na upande wa Pili kwani kutetea upande mmoja naona kama tunakosea kidogo, Lakin pia napata mashaka kama alivyosema mchangia mmoja KakaJambazi kutokana na maelezo ya mtoa uzi ni kwamba wakati wanamalizia nyumba kuna makubaliano waliyaweka sasa ukilitafakari hili vizuri utagundua kuwa mashaka yalianza tangu mwanzo wa ndoa so haikua imepangwa kudumu kwani kama mme na mke hamkupaswa kuanza kufikiria kuvunjika kwa ndoa mwanzoni. Kuna shida mahali hapa ndo maana nasisitiza lazima ujue me pia anasemaje. Otherwise Pole sana mdada.

Sheria yetu ya dini ya kiislamu inaruhusu kuingia kwenye makubaliano yoyote iwe mali etc hata sheria ya nchi vile vile. Yaani ingekuwa inawezekana ningekuelekeza ambapo tulikuwa tunaishi then ungepata the whole story kwa majirani na vitendo alivyonifanyia. kwa vile tu ni masuala ya confidentiality.
 
vipi kuhusu watoto mmeshalizungumza? au hamkuzaa

Yaani ni kwavile sijaelezea story yote, mimi na familia yote tulijitahidi sana kumuita kwenye vikao vya familia lakini hakutaka kuja na akasema hataki vikao wakati huo yuko kwa mchepuko. Kuhusu nyumba mimi nilikuwa sina shida ya nyumba na nilovyoondoka nilimwambia anirudishie gari yangu tu lakini na gari alikimbia nayo na akawa antumia na mchepuko. what do you want me to do, mbona na huyo mchepuko kamfukuzana sasa hivi yuko tu mtaani. Mchepuko wenyewe ulimpigia baba mkwe simu unalalamika jamaa hampi hela ya matumizi na kumpiga juu na pia analalamika kuwa jamaa ana wanawake wengine. Kiufupi jamaa ni kicheche na hajielewi nimevumilia mengi sana na wazazi wa upande wake hawajanilaumu kwa maamuzi yangu
 
Nimefurahi na mchepuko kamtimua hahahahhahaha.... Safi sana hiyo
 
pole sana na hongera kwa maamuzi uliyoyafanya, ombi langu kwako katika kipindi hiki cha mpito endapo utajisikia hamu ya kuridhishwa kimwili usisite kuja hapa jf, waungana watakusaidia kama walivyofanya huko nyuma!
 
Back
Top Bottom