Mrejesho: Mama mkwe amevunja ndoa yangu

Mrejesho: Mama mkwe amevunja ndoa yangu

Vijana badilisheni vigezo vya kupata mke, mke sio urembo, mke sio uzuri, mke sio elimu, mke sio pesa, mke sio majina ya kijinga (sweet, baby, honey nk), MKE ni TABIA.

Umenenena vema mkuu ...... Natamani vijana waelewe kwa kina ulichomaanisha hapa. Very well said...
 
mwisho...

Nimefikia hatua ya kuona kwamba nilifanya makosa kuoa nchi jirani hasa pande hizo kwani kwa research yangu ndogo niliyofanya nimegundua kwamba wanawezana wao kwa wao na hivyo vijana wenzangu wa bongo angalizo ninalowapa usijaribu, tena kama uko mbioni kuoa huko au ndugu yako anataka kuoa huko mwambie atapata misukosuko mingi sana na mwisho wa siku atakimbiwa kama mimi

Yapo mambo mengi sana ila sijaweka hapa kwani ningewachosha wasomaji wa hiki kisa. Wanawake wa kutoka kwa rais mrefu kuliko kweli ni wazuri wa sura na maumbo na wengi wao na wanafaa kwa matumizi ya binadamu, ila kama unalengo la kuoa kihalali na kisheria nikupe angalizokwenye tabia zao ni zero. Hivyo kuwa makini japo mwanzo atajifanya kuwa na malengo na ndoa na hata ukiwa ni mtu wa matumizi atajidai kukupa ushauri mzuri wa pesa zako ila ukishaweka ndani ndo utajua kama maharage ni mboga au futari.take care guys. Kwani lazima atazaa na mtu wa kwao ila mimi sijapima D.N.A.

Naomba ushauri wa kuvunja ndoa hii ya kikristo tena kanisani kabisa ,Je nifuate hatua zipi kuanzia mwanzo mpaka mahakamani ?,Gharama za D.N.A zikoje? Je gharama za matunzo kwa mtoto kwa mwezi ni shilingi ngapi kisheria hapa bongo?

NB; Usinishauri kuendelea na ndoa hii kwani haiwezekani kuishi nae tena, hata maandiko yanasema chumvi ikiharibika haifai tena kwa matumizi hata itiwe nini. Karibuni….
ngoma hiyo peleka mahakamani.....ila anzia ustawi wa jamii......hao ndio watafungua maombi ya talaka mahakamani.....
 
Aisee nimesikitika sana
Pole ndugu. Mungu akujalie uubebe salama huo msalaba
 
Pole sana. Zaman ndoa za kanisani ndio zilkua ngumu kuvunja. Ila siku hiz zinavunjika 2, nenda mahakamani.
Ndoa ngumu sio kuona watu wakitoka nje wanakenua yaliyomo ndani ni makubwa. Kabla hamjaoana bora mkae pmj kulala n kuamka hata miezi 8 wengine wanaishi pmj mpk miaka mi5 ndo wanakuja kufunga ndoa m2 huwez ficha vitabia vyako vya ajabu siku zote hzo. Lkn m2 unakutana naye weekend 2 i see hapo atajifanya mke mwema aliyetoka kwa bwana.
 
Back
Top Bottom