jerrytz
JF-Expert Member
- Oct 10, 2012
- 5,991
- 4,361
Vijana badilisheni vigezo vya kupata mke, mke sio urembo, mke sio uzuri, mke sio elimu, mke sio pesa, mke sio majina ya kijinga (sweet, baby, honey nk), MKE ni TABIA.
Siku ikifika watu wakaelewa hili hutaona mambo ya kijinga kwenye ndoa.
Vijana tunaoa rangi, kabila, mwili, elimu, n.k