Mrejesho kutoka kwa waliowahi kutumia dawa za nguvu za kiume

Facts
Tatizo la nguvu za kiume
1:Nguvu za kiume ni nini ?
Tunaposema nguvu za kiume tunazungumzia uwezo wa mwanaume kufanya tendo la ndoa kwa uwezo mzuri yani uume wake kuwa imara
2:je kuna upungufu wa nguvu za kiume
Hapa tunaangalia kulegea kwa misuli ambayo inasabsbishwa na mtiririko mbaya wa Damu katika uume
3:Je usababishwa na nini
Usabsbishwa na mambo tofauti
1:magonjwa kama kisukari
2unyeto
3:nk
 
Hahahhahahah...,umenfurahisha broooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…