Mrejesho kutoka kwa waliowahi kutumia dawa za nguvu za kiume

Katika kitu kinacho telemsha confidence ya watu ni hizo porno.. kibaya zaid unakuta mtu anataka kua kama flani anae muona.. Tamaa ya watu kutaka kua kama watu wanao waona ndio secret business ya uuzaji wa hayo madawa..

Kumbuka kila mwanaume ni wa aina yake. badala ya kutaka kua kama flan tumia vizur resource ulionayo.. jiamini.. nashangaa sana watu wenye vinavyoitwa vibamia wanavyo nywea na kuwa dhaifu ki saikolojia..
 
Fanya mazoezi
Pata muda wa kupumzika
Kula matunda kama tikitimaji
Vyakula kama tangawizi, nyanya chungu, karanga, asali na mihongo mibichi
Kuna story nilisoma sehemu Fulani kama ukitumia asali mbichi na mfalasini asubuhi, mchana na jioni hata kama ulikuwa hanisi utaweza anza kuelect.
Tatizo hili linaanza au tunaathiliwa kisaikolojia tu, kama ukifuatilia Maneno ya wengine utapona
 
Kijana wa miaka 20-35 utumie dawa za kuongeza nguvu za kiume Duuuu!!

Uache kula vizuri ukashiba.
Uache kufanya kazi za kutumia nguvu au mazoezi kufanya misuli ipate moto.
Uache kunywa maji ya kutosha ili mzunguko wa damu ufanye kazi vizuri.
Uache kupumzika kwa muda wa kutosha.
Uache kuvaa nguo zinazobana mapumbu au nguo nyingi zinazoweza kusababisha joto kunako pumbu.
Uache kupiga punyeto na kuangalia picha za uchi.
Uache unywaji wa Pombe kupitiliza na Uvutaji wa sigara kupitiliza.
Ulaji wa vyakula vyenye mafuta Sana.

Ukifanya mambo yote hayo sijui hata Kama utakuwa unafikiri habari za nguvu za kiume.
Mkuu umemaliza kila kitu.
 
Vumbi lá kongo ati!

Pichá linaanza vumbi likizamishwa kwa mafuta mgando kisha kichwa cha dudu kinalamba vumbi kwa mzungusho.
Alafu kwambaali kidizain flan kama dudu inaanza kuvuta mara ganzi inaanza kunyemelea mlingoti mzima. Dakik 10 baadae mambo si mchezo ganzi inasambaa mubasharaaaa kwenye mlingot mzima na kwa mbali mithili ya pilipili inaanza kuwasha fimbo sasa hapo ndo utajua kwann kabila ni gaidi. Nusu saa hadi masaa 2 baadae hali tete ya pilipili inachachamaa na mnyama ukimgusa husikii chochote kwa kipigo cha ganzi kuu ukijumlisha muwasho wa pilipili. Unaamini sasa hapa mechi imepata mchezaji.

Unaingia uwanjani kitu kipo mnara. Mpinzani anatahamaki kuona kitu kinazama golini Na kufukunyua nyavu dk 20 bila kuchomoka wala kulala. Anachukulia powa. Mara anaona kamanda ndo kwanza anaongeza spidi akat yy kafika mwisho. Patamu hapo ......tô be continue

[HASHTAG]#chamkongo[/HASHTAG]
 
hahahaaaha aisee mkuu nimecheka sanaaa
 
Back
Top Bottom