Mrejesho kutoka kwa waliowahi kutumia dawa za nguvu za kiume

Facts
Tatizo la nguvu za kiume
1:Nguvu za kiume ni nini ?
Tunaposema nguvu za kiume tunazungumzia uwezo wa mwanaume kufanya tendo la ndoa kwa uwezo mzuri yani uume wake kuwa imara
2:je kuna upungufu wa nguvu za kiume
Hapa tunaangalia kulegea kwa misuli ambayo inasabsbishwa na mtiririko mbaya wa Damu katika uume
3:Je usababishwa na nini
Usabsbishwa na mambo tofauti
1:magonjwa kama kisukari
2:punyeto
3:nk
 
Vumbi lá kongo ati!

Pichá linaanza vumbi likizamishwa kwa mafuta mgando kisha kichwa cha dudu kinalamba vumbi kwa mzungusho.
Alafu kwambaali kidizain flan kama dudu inaanza kuvuta mara ganzi inaanza kunyemelea mlingoti mzima. Dakik 10 baadae mambo si mchezo ganzi inasambaa mubasharaaaa kwenye mlingot mzima na kwa mbali mithili ya pilipili inaanza kuwasha fimbo sasa hapo ndo utajua kwann kabila ni gaidi. Nusu saa hadi masaa 2 baadae hali tete ya pilipili inachachamaa na mnyama ukimgusa husikii chochote kwa kipigo cha ganzi kuu ukijumlisha muwasho wa pilipili. Unaamini sasa hapa mechi imepata mchezaji.

Unaingia uwanjani kitu kipo mnara. Mpinzani anatahamaki kuona kitu kinazama golini Na kufukunyua nyavu dk 20 bila kuchomoka wala kulala. Anachukulia powa. Mara anaona kamanda ndo kwanza anaongeza spidi akat yy kafika mwisho. Patamu hapo ......tô be continue

[HASHTAG]#chamkongo[/HASHTAG]
Hahahhahahah...,umenfurahisha broooo
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom