Wakubwa kumbe pilipili manga ni dawa ya nguvu za kiume au?

kwisha

JF-Expert Member
Sep 9, 2021
1,666
4,365
Siku hizi na sumbuliwa na tatizo la gas tumboni sasa kuna rafiki yangu mmoja ambaye alinishauria niwe natumia pilipili manga inasaidia saana kuondoa tatizo hilo.

Kwa hiyo mimi nikatafuta pilipili manga ili kujitibu tatizo la tumbo kujaa gas Ila kuna kitu kingine cha ajabu ambacho nimekiona leo kuhusu pilipili manga. Baada ya mimi kutumia pilipili manga leo nika sex na mpenzi wangu cha ajabu nimejikuta nimepiga game zaidi ya ninavyo zoea.

Kikawaida kabisa mimi sijawahi kumwaga zaidi ya dakika 3 au 4 ile ya kwanza ila cha ajabu leo nimwanga ile ya kwanza zaidi ya dakika 30 ndo nikamwaga ile ya kwanza.

Sasa najiuliza hivi pilipili manga ni dawa ya nguvu za kiume au na ninyi ndo kujua leo hii?
 
pilipili maaaaaangaaa
20221031_140335.jpg
 
Mkuu mimi pia nina tatizo la kujaa gesi tumboni hiyo pilipili manga unaitumiaje?
 
Siku hizi na sumbuliwa na tatizo la gas tumboni sasa kuna rafiki yangu mmoja ambaye alinishauria niwe natumia pilipili manga inasaidia saana kuondoa tatizo hilo.

Kwa hiyo mimi nikatafuta pilipili manga ili kujitibu tatizo la tumbo kujaa gas Ila kuna kitu kingine cha ajabu ambacho nimekiona leo kuhusu pilipili manga. Baada ya mimi kutumia pilipili manga leo nika sex na mpenzi wangu cha ajabu nimejikuta nimepiga game zaidi ya ninavyo zoea.

Kikawaida kabisa mimi sijawahi kumwaga zaidi ya dakika 3 au 4 ile ya kwanza ila cha ajabu leo nimwanga ile ya kwanza zaidi ya dakika 30 ndo nikamwaga ile ya kwanza.

Sasa najiuliza hivi pilipili manga ni dawa ya nguvu za kiume au na ninyi ndo kujua leo hii?
Unatumiaje hiyo pilipili manga? Unachanganya na kitu kingine au yenyew?
 
Pilipili yeyote inaongeza mapigo ya moyo na kuufanya mzunguko wa damu kuwa mkubwa hivyo kuongeza uwezo wa mwanaume kufanya mapenzi kiufasaha, tumia pilipili ya kutoshwa tena iliyosagwa kwa kunywa kama juice ikiwa unajiandaa na mnyanduano
Utakuja kunishukuru baadae
 
Siku hizi na sumbuliwa na tatizo la gas tumboni sasa kuna rafiki yangu mmoja ambaye alinishauria niwe natumia pilipili manga inasaidia saana kuondoa tatizo hilo.

Kwa hiyo mimi nikatafuta pilipili manga ili kujitibu tatizo la tumbo kujaa gas Ila kuna kitu kingine cha ajabu ambacho nimekiona leo kuhusu pilipili manga. Baada ya mimi kutumia pilipili manga leo nika sex na mpenzi wangu cha ajabu nimejikuta nimepiga game zaidi ya ninavyo zoea.

Kikawaida kabisa mimi sijawahi kumwaga zaidi ya dakika 3 au 4 ile ya kwanza ila cha ajabu leo nimwanga ile ya kwanza zaidi ya dakika 30 ndo nikamwaga ile ya kwanza.

Sasa najiuliza hivi pilipili manga ni dawa ya nguvu za kiume au na ninyi ndo kujua leo hii?
Kumbe ulikuwa huna nguvu za kiume.
 
Back
Top Bottom