Mrejesho kuhusu mke wa mpangaji mwenzangu

Gwele

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2016
Posts
2,770
Reaction score
3,523
Wiki kadhaa zilizopita nilileta uzi humu kuomba ushauri kuhusu tabia ya mke wa mpangaji mwenzangu
Simuelewi mke wa mpangaji mwenzangu - JamiiForums

Nimefanikisha kuhama hapa nilipokuwa nakaa japo nilibakisha kodi ya kama miezi mitatu lakini kwa usalama wangu niliona nifanye hivyo

Kwani huyu mke wa mpangaji mwenzangu alifika hatua mbaya akawa analazimisha tuwe wapenzi na hajali kuhusu mume wake na yupo tayari kuachana nae kwani hana mapenzi naye

Tangu nimehamia huku nimekata mawasiliano nae na nimemblock japo alijaribu kunipigia kwa namba mpya nilipogundua ni yeye nilikata na sikupokea tena akatuma meseji ndefu akilalamika kwanini nilihama bila kumjulisha ni wapi nimehamia lakini sikumjibu chochote

Sasa nipo na amani nashukuru sana kwa wote mlionishauri sahihi kumaliza tatizo langu
 
Good boy
 
Uzembe sana huu,, ungekua jirani na Vibao ungeambulia,,, yani hata mara moja tu??!!?
 
una umri gani mkuu? samahani nipo nje ya mada.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom