Uamuzi uliochukua wa kuishinda hiyo vita bila kupigana wala kufanya chochote huo ndio uamuzi wa kiume,mtu asije kukudanganya kwamba, sijui ungemla-witi mgoni,sijui ungewapiga sana. Hakuna chochote ambacho wewe ungekipata zaidi ungekuwa jera sasa. Hongera sana kwa hilo. Mimi mwenyewe ningefanya hivyo. Kwa sasa fanya mpango kampatie vitu vyake vyote,ksbb kaenda kureport polisi ukifika nenda moja kwa moja hapo polisi,waambie nataka aje achukue vitu vyake na polisi awepo. Vitu vyako ikiwezekana ondoka navyo ksbb upo arusha kikazi funga nenda navyo. Ni rahisi tu namna ya kusafirisha. Unasafirisha kwa malori yapo kariakoo ni bei rahisi sana. Hata mabox ya kufungia mizigo yapo kariakoo. Ukihamishia vitu vyako uliko itakufanya usahau yote ya dar kwa haraka. Huyo ni mke au mpenzi au mchumba?. Nahisi nimedandia tren kwa mbele,kama kuna tred nyingine ilikuwepo,ila mimi nimejibu hii





Anapenda drama jamaaHapo kumrudishia funguo ili iweje? Hicho/Hiyo chumba/nyumba si wewe ndiyo unalipa? au?
Nashukuru Mkuu! Nimeupokea ushauri wako vyema!Kabla ya yote ndugu moyo wako unasemaje kumwacha mtu uliempenda sio jambo rahisi ingawa inategemea mtu namtu kunawengine nirahisi shaka yetu inatokana nauzito watukio na msimamo wako kwasasa mara nyingi baadhi yawatu mazingira hayo huwa na chaguo moja kama unaona kunauzito kidogo kuamua tuliza akili unaweza kuteseka mpaka ujute lakini pia siku niliona uzi wako sikuutilia maanan inawezekana ulitaka upate ushahidi kamili ila nijambo lahatari sana kama unavosema unamshukuru mungu kweli mshukuru amekuepusha nabalaa nikupe pole endelea kumwomba mungu upate kuchukua hatua sahihi
Hahaha !!! imeisha io!Maamuzi ya kikao ni hakuna kurudisha funguo wala kuwasiliana nae
Si kweli hawezi kuteseka simu zote... time heals..asiweke ukaribu nae tuu atakua amefaulu.Mkuu, jamaa anaumia na nina uhakika hapati usingizi since hili sekeseke lilipomkuta. Kama vipi avute muda tu then wayajenge na mzazi mwenzake ili kuirejesha furaha yake. Unadhani kipi bora aendelee kuteseka siku zote au aangalie namna ya kuwa na huyo anayeutesa moyo wake?
Si kweli hawezi kuteseka siku zote... time heals..asiweke ukaribu nae tuu atakua amefaulu.Mkuu, jamaa anaumia na nina uhakika hapati usingizi since hili sekeseke lilipomkuta. Kama vipi avute muda tu then wayajenge na mzazi mwenzake ili kuirejesha furaha yake. Unadhani kipi bora aendelee kuteseka siku zote au aangalie namna ya kuwa na huyo anayeutesa moyo wake?
Pia jamaa inaonekana anaamini katika Mungu na anafuata msingi ya hekima ya Mungu kitu ambacho nimeona imekuwa msaada sana kwake maana bila Mungu na situation kama hizo basi huu Uzi ungekuwa tofauti.Jamaa anaonekana bado anampenda huyo mtu.
Bado hajawa na maamuzi.
Usiombe jambo hiliNajiulizaga sana hivi siku nikimfumania wife sijui itakuwaje
Sawa mkuuSiku fungua thread mzee tujifunzd
Nashukuru ndugu tulia usifanye pupa usimhukumu sana mazingira ya kuishi mbali mwanamke yeyote inawezakutokea hivo nimefanya utafiti kidogo japo sio wakitaalam naona wanawake wengi ikitokea akajenga mazingira yaukaribu sana namwanaume lolote linawekutokea sinahakika kama nisahihi kila mwanamke akichepuka tumwone malaya hapana sinahakika kwenye uumbaji wao kuna nn ila mahitaji yao kwamwanaume nimengi sana yapo yanayojulikana nayasiyojulikana sina maana umrudie lakini angalia tu kama kunamazingira yakujutia weka mizani yako upime wanaume wanambinu zaajabu sio rahisi sana kumkataa hata ukimwacha huyo kuchepuka kupo toka zamaniNashukuru Mkuu! Nimeupokea ushauri wako vyema!
Yani ukisikia mwanaume amemfumania mke nahajafanya kitu ujue ni mwanaume waaina yake tumpongeze kwahiliUsiombe jambo hili
Pole kwa kupenda kiboya....siku zote mnaambiwa msitumie moyo kupenda hamsikii vijanaJamaa anaonekana bado anampenda huyo mtu.
Bado hajawa na maamuzi.
Ukitumia moyo kupenda ndiyo mateso yake haya! acheni huu utopoloHalafu kwa sasa hivi akili yako haipo sawa kabisa. Kwa sasa moyo ndio unaokuongoza. Nadhani kila ukifumba macho unamuona anavyovutia na umbo lake akiwa uchi, unayaona makalio yake yanavyovutia, kisha unapiga picha kuna jamaa mwingine anapendwa kuliko wewe na anayashika hayo makalio kadri anavyojisikia, ...hicho ndio kinakuumiza jomba. Okay fanya hivi jikaze kama miezi miwili hivi bila kumtafuta. Nina uhakika yeye na huyo jamaa hawezi kudumu zaidi ya miezi miwili, wataachana tu. Baada ya miezi miwili mtafute kupima upepo, ukikuta bado yupo na jamaa basi jiambie nafsini mwako kuwa huyo sio wako tena, na uweke nadhiri ya kuachana naye. Ila ukimkuta washamwagana na jamaa basi mrudie ili usiendelee kuumia. Huyo demu unampenda mpaka basi hivyo wewe ufuate moyo wako baada ya hiyo miezi 2 provided hayuko na jamaa.
Dah hii mbaya sana mkuuNdugu wengi yametukuta na mazito zaidi ya haya ya kwako lakini kwa busara na hekima tuliweza kushinda mfano mimi ndyomaana naweza hata kuandika now , but chakufanya hakikisha unaweka mazingira ya kiusalama umkabidhi vitu vyake umuache aende zake haijalishi unampenda kiasi gani utazowe tu , mimi niliachwa na watoto wadogo mno kisa ex wa mke wangu katoka nje kimasomo lakini nisha settle .
Nawasilisha