Wilson Gamba
JF-Expert Member
- Mar 1, 2013
- 819
- 908
Hela ipo kweli mkuu!?Kwanza niwashukuru nyote mlonipa ushauri juu ya Nini tufanye tumpate mzee wetu.Ukweli tulifanya kila kitu ata kujiunga magroup mbalimbali ya wasapu na fb.
Tuliopita kila Kona,tulifanikiwa kumpata mzee mmoja aliyekuwa anafanya kazi gereza la musoma na sasa Ni mstaafu yupo Mkoani Singida alikiri kumfahamu Ila akasema ata yeye miaka ya 1984 Ndo alitoka gereza la musoma na kwenda gereza la kiabakari tokea hapo hana Tena taarifa yoyote juu ya Mzee.
Tulienda mbele zaidi na sasa tunaangaikia eneo alilokuwa anatokea mtwara mjini mungu akisaidia tutakuja apa Tena.Pia ahadi yetu ya Tsh 500,000/ ipo palepale atayeleta taarifa sahii ya Mzee Michael Juma,au Mwanae Ana ambaye tumumzungumzia apa au ukoo wake
Ata sasa ,familia humu nada zangu utajua vizuri.Naamini Sana kwenye hekima kaka,ulifanikisha ata sasa nakurushiaHela ipo kweli mkuu!?
PoaAta sasa ,familia humu nada zangu utajua vizuri.Naamini Sana kwenye hekima kaka,ulifanikisha ata sasa nakurushia
Pesa so tatizo utapata mda huo huoHela ipo kweli mkuu!?
Ndugu sisi tupo serious na hili swala na Wala hatuwezi kudanganya kimpa mtu haki yake,kimbuka nilieahitoa apa mrejesho Kuna watu tilishawapa pesa kumbe waliiitaji tu pesa lakini so mbaya,Cha msingi niiunganishe nao nijilidhishe kwanza,Nina misingi ya dini dhiluma kwangu Ni mwikomkuu nirushie chap huo mzigo taaraifa ninazo za mnaemtafuta, nikajikanyagie zangi vant kubwa
Mkuu hiyo laki 5 utanipa.Kwanza niwashukuru nyote mlonipa ushauri juu ya Nini tufanye tumpate mzee wetu.Ukweli tulifanya kila kitu ata kujiunga magroup mbalimbali ya wasapu na fb.