bushland
JF-Expert Member
- Mar 6, 2015
- 7,015
- 4,997
Itabid ukaanzishe bara lako ambalo utaweka kila kitu shortcutTatizo Africa hatuangalii Creativity na Personal Skills yani tunafikir mtu kujaza makaratasi ndo anajua kila kitu
Itabid ukaanzishe bara lako ambalo utaweka kila kitu shortcutTatizo Africa hatuangalii Creativity na Personal Skills yani tunafikir mtu kujaza makaratasi ndo anajua kila kitu
Ila inaelekea kwa Institutions kama bank hiyo interview ilikuwa appropriate. Ila kwa vijana was kileo,I am sure it was a hard but to crack.Assessment Test ilikua Online pale NMB academy GEPF tower-Victoria ilikua fresh tuu lakini si kwa Upande wangu ngoja nikomae kwingine.
Verbal test Maswali 30 halafu unasoma Comprehension Muda Dakika 17. Mi najiona nimeshakua Mzee kumaliza hayo Maswali.
Numerical Test.
Maswali 18 ya hesabu muda ni dakika 17 here I felt I am too old again to finish the race.
MY TAKE SITAENDA KUFANYA INTERVIEW TENA NMB.
Tatizo Africa hatuangalii Creativity na Personal Skills yani tunafikir mtu kujaza makaratasi ndo anajua kila kitu
Sijaelewa pale walikuwa wanapima...nini kwa maana...Hata uwe fresh from school huwez solve maswali 18 ya hesabu kwa dakika 14...halafu maswali yenyewe vigongo...
Umeshawahi kuhudhuria usaili nje ya Afrika mkuu?!Tatizo Africa hatuangalii Creativity na Personal Skills yani tunafikir mtu kujaza makaratasi ndo anajua kila kitu