Mrejesho: Hongera Baba Nasma kwa kuchomoa betri. Waache sasa wateseke na moto

Nani asiyejua maradhi swala ni umeamua kuvujisha vitu visivyokuhusu,unajisikia raha sana ndoa yao kuvunjika? Unafaidika na nini haswa
Mwanangu una-support huu ujinga?? Hebu uliza wazee hapo zamani walikuwa wanaishi vipi ndio utajua kwanini tuna mmomonyoko mkubwa wa maadili.

Hali hii ndio imepelekea kariakoo tunawaona dada zetu wanapokwa handbags zao tunawaacha tu coz hayatuhusu sio?? Come to your sense bro
 
Mleta mada unajua kama likitokea baya kati ya huyo jamaa na mke wake, utahesabika ni muhusika moja kwa moja ?
 
Kwahiyo unasapoti ndoa yao kuvunjika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…