Mrejesho: Hongera Baba Nasma kwa kuchomoa betri. Waache sasa wateseke na moto

Nani asiyejua maradhi swala ni umeamua kuvujisha vitu visivyokuhusu,unajisikia raha sana ndoa yao kuvunjika? Unafaidika na nini haswa
Mwanangu una-support huu ujinga?? Hebu uliza wazee hapo zamani walikuwa wanaishi vipi ndio utajua kwanini tuna mmomonyoko mkubwa wa maadili.

Hali hii ndio imepelekea kariakoo tunawaona dada zetu wanapokwa handbags zao tunawaacha tu coz hayatuhusu sio?? Come to your sense bro
 
Mleta mada unajua kama likitokea baya kati ya huyo jamaa na mke wake, utahesabika ni muhusika moja kwa moja ?
 
Kwahiyo unasapoti ndoa yao kuvunjika
Naskitishwa sana kuona watu ninaowaamini na kuwaheshimu humu jukwaani waki-like comment za KIJINGA zinazomshambulia mtoa mada.

Yaani watu walitaka mtoa mada anyamaze kimya tu juu ya usaliti na unyama anaofanyiwa mtu mwengine?? Mna tofauti gani na wale waliokwenda kwenye ajali ya lori wakaanza kuchota mafuta na kuacha kumuokoa dereva na abiria?? Shame on you!

Mtume (s.a.w) ametuelekeza kwamba "utakapouona uovu wowote basi uondoshe kwa mkono wako, kama ukishindwa basi uondoshe kwa mdomo wako (uukemee) na ukishindwa basi uchukie ndani ya nafsi yako, na huko kuchukia ni udhaifu wa imani"

Mtoa mada ameuona uovu na kuamua kuuondoa, ajabu iliyoje GREAT THINKERS wanamshambulia. Halafu cha kuskitisha, wale ninaowaona ma-genius humu wamekaa wana-support hali hii??

I need to learn more and more really.
 
17 Reactions
Reply
Back
Top Bottom