Mbekenga
JF-Expert Member
- Jun 14, 2010
- 3,262
- 8,097
Yaani unachokiongea ndo ninachomaanisha. Friji ni umeme, microwave ni umeme, pass ni umeme na hapo hawajaangalia tamthilia mpaka saa tano usiku, vyote ni vya aki na mama.Mkuu acha visirani. Hapa ghetto nikakoishi wadada wakiwepo wikiend umeme unaotumika kwa siku ni ule unaotumika kwa siku tatu wasiposhinda.