Mrejesho: Hatimaye usiku wa jana nimefanikiwa ku-update android version marshmallow

Mrejesho: Hatimaye usiku wa jana nimefanikiwa ku-update android version marshmallow

Aisee sifahamu mkuu
mkuu mpaka hapo itakuwa ngumu kwako labda kama una mtu wako wa karibu anaejua jua mambo ya simu akusaidie. na kama haikusumbui hio simu kwa sasa ni bora tu ukaendelea nayo hivyo hivyo
 
mkuu mpaka hapo itakuwa ngumu kwako labda kama una mtu wako wa karibu anaejua jua mambo ya simu akusaidie. na kama haikusumbui hio simu kwa sasa ni bora tu ukaendelea nayo hivyo hivyo
Ok nashukuru ngoja tu niengelee nayo make sijapata usumbufu mkuu
 
Na mimi leo nimefanikiwa ku-upgrade tecno c8 frm lollipop to marshmallow,
 
Mimi nina xperia z1 je inaweza kukubali update marshmallow wadau.
 
Natumia Huawei Y6,,android 5.1 nataka ku upgrade Mashmallow,,,nipeni link wakuu.
 
Hatimaye usiku wa Jana nimepata marshmallow
6d8ec3233ef7ba2e22fdc2b11e475361.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom