Mrejesho: Hatima ya mauzauza ya mke wangu

Mrejesho: Hatima ya mauzauza ya mke wangu

ww vp andika hadithi sehemu moja muda wa kula huu

Kwenye comment mbona hakuna kitu!!!? Nipo hapa nasubiri

embu tuwekee link ya thread ya mwanzo kwanza

kwenda huko soma mwenyewe sasa

si ukoment tena

Junior Recture acha utoto bwana, elezea kitu kwa pamoja ueleweke!

Eti inendelea kwenye comment... mweeeeh pole anyway!!!!!!

Wambea utawajua tu, hawastahamili.
 
Kwa hiyo unataka kusema uwanga umeacha? Na ndugu zako wameacha ulozi?

Next time akipata mganga mwingine atamwambia unachepuka upewe limbwata uwe Ndondocha....

Endelea kumkumbatia mwanamke mshirikina tu.
 
Pole... Ila soma zuri sana . waganga hawana jipya hawa, nashangaa sana watu wanao waendea hawa tena hasa hasa wanawake wanawapenda sana kupeleka shida kwa waganga wa kienyeji.
 
Hadithi nzuri kama kuna mwenye cd anfanyie mpango naipataje.?
 
Mkopo wote ww umeambulia patupu? Hata kukushirikisha tu kama mumewe? Ndoa yenu ilikuwa na matatizo kwa kweli!

Wanawake wabinafsi sana!
 
Duh
Ofisi za siku hizi wanatoa likizo ya lazima kwa wanandoa.iwapk spouse ameenda????? Ninavyopenda likizo ngoja baba chanja aje nimepe mpango mkakati....


Mwanamke hapigwi.
Kiufupo binadamu hapigwi magumi. Na mwanamke enzi za nyerere walikuwa wanapigwa kwa khanga....kizazi hiki kinapigwa kwa Vanguard. ....
Kama una maguvu shika jembe ikalime

Mkeo kiaziiiiiiii mil 10 amemkabithi mtu....mil1.5 anampa mganga....... kiufupi ana nyota ya mikopo na ujinga

Ila katika yoooote hongera kwa kurecover hizo pesa aisee..... na mkeo mwambie mjini shule. Na nyie wanandoa mjifunze kuketi pamoja na kujadiliana mambo iki kuepuka mifarakano na kutapeliwa
 
Mkuu asante kwa ushauri

Nimejifunza mkipondo heavy ni dawa bado tosha na nzuri kuwaweka wanawake kwenye usawa

---- NAKUPA VIZURI, CHAKULA UNAKULA VIZURI, MAHITAJI NATIMIZA VIZUR....afu leo uteleze kisa ukae na kushauliana na wenzio upuuzi,,hakyanani watanipeleka polisi maana ntayabomoa ayo mauza uza kichwani
 
Baada ya kuja nilimuuliza kama anaweza kunithibitishia maandiko yake ndipo ni msamehe, alinithibitishia kwa kuniletea bank statement inayo onyesha kiasi cha mkopo na miamala iliyo fanyika ,pamoja na mawasiliano ya marafiki zake,na mkataba ulio onyesha makubaliano ya kushare mtaji.
Nili msamehe na kumuhaidi kuwa tia mbaroni wabaya wake wote.NAAM,nilienda naye polis tukafunguli kesi iliyo husu kujipatia pesa kwa njia ya udanganyifu rb ilimuhusu mganga na yule rafiki yake,baada ya mganga kutiwa mbaroni ndani ya siku moja baada ya kesi kufunguliwa aliibua mazito kuwa mchezo ulisukwa ma marafiki zake wa mlize wawili anafanyanao kazi yule aliye mpeleka kwa sangoma feki na aliye toroka na pesa,mpaka sa wote wamekamatwa na polisi lisha ya kukubali kurudisha kiasi chapesa walicho mtapeli wife jana wamefikishwa mahakamani wakikabiriwa na mashitaka mengine matatu.
KWASASA MAISHA NA WAIFU MAPENZI MOTO MOTO UTAFIKIRI TUNA JUANA LEO. WIKI IJAYO TUNARUDI MAHAKAMANI.
WITO WANGU WA WANAWAKE HACHENoI KUKURUPUKA,POLICE BIG_UP

nikiripoti kutoka jukwaa LA mahusiano Mimi ni samuh mahela wa ITV.
 
Back
Top Bottom