Mrejesho: Forex ya Ontario

Kama matapeli hivi. Wanapaswa kujitenga kabisa na Betting.

Huko India na Ulaya wanatengeneza feki website za kutrade hizo currency lakini mwisho wa siku inakuwa vilio kwa watu.

Onyo: Kuna ujanja sana humo ulikanyage miguu miwili...
 
Scam brokers wapo na genuine wapo , hili tunalijua.

Hivi kwani mnadhani Ontaria tumemlipa sh ngapi? Elfu 65 tu.....account tunafungua wenyewe bank. Pesa kwa brokers tunaweka wenyewe.....kisha broker wanatulipa withdraws zetu.
Sasa mi nawashangaa haters....scam ni nani? TMT?, ONTARIO? BROKERS, au nani ni scam? Poleni sana......tapeli nani na kamtapeli nani?
Maana kule hakuna ujanja ujanja wanataka your valid ID na residency documents.....

Poleni sana....ntakuja kutoa ushuhuda inshaa Allah ila kwa sasa tuacheni kwanza.
 
Kawaida yetu wabongo tunapenda kushadadia Mambo mabaya mabaya tu.

Sasa kwakua umefikia hatua ya kuandika uzi huu na kuuliza ama kuomba kupata mrejesho basi ujue Kuna heri huku TMT chini ya Sir Jeff and powerful mentorship crew.

Ukimya wetu unaonyesha commitment kubwa tulionayo sisi wanufaika wa hii project.
Kazi yetu kubwa huku ni kusoma Sana vitabu, kuangalia analysis, kuguatilia news, kufanya trading, ku-withdraw profit na kuwa na good weekend mood.

Kwa ambao bado karibuni Sana Wala hamjachelewa, maana at TMT we're not compenting, but overtaking is allowed.
 
Kuna hatari ya kufungiwa huko mbeleni ee?
Sasa kwani pesa mpaka kufika kwenye hizo account si lazima zipitie bank ya kawaida then bank kuu Sasa bank kuu wakiona upungufu wa biashara ya fedha za kigeni(imbalance trade) yani tunanuna Sana pesa za kigeni kiasi kwamba kumaliza hazina ya taifa wanazuia kabisa hizo transactions na mchezo unaishia hapo
 
Yaan BOT washindwe kuona Imbalance trade kwenye manunuzi ya vitu China, yanayo involve madolali mengi, waanze kufuatilia vidola vichache wanavyoweka na wana JF. of which the largest mtu akijitahid ndo atadeposit Dola 20,000. Lakini wengi wamedeposit less, plus pia hata kama wakiona itakuwa vizuri sababu pia wataona na withdraws ambazo watu wanafanya.

Inshort, Forex ni biashara kama nyingine, it invovle higher risk than normal business, and thus higher returns, sababu the higher the risk the higher the returns, na kwa kushuhudia hilo ni kwamba had sasa ktk wanafunzi wa Ontario kuna tulio piga hela ,na kuna walio poteza hela ,na hata wao wanakiri wamepoteza kwa uzembe wao wa kutofuata instructions.
 
Endelea kusubiri mrejesho wenzio wako wanaagiza magari, trade zinaendelea kama kawa...
Mkuu with all due respect hiyo biashara hauwezi kujifunza na kubobea(mastering) haraka kiasi hicho.
It takes more than six(6) months to grab the wheel and master the road of Forex trading, others it takes years to make lump sum of money, and for others they will never make to the promise land(land of success).

Ushauri: Watu wasiogope wajiunge wapambane, hakuna biashara rahisi. Wapo wanaofanikiwa ktk hii biashara.
 
Mkuu wewe wasema, ila wao kila siku wanatuonesha screenshot za wanatengeneza hela mingi this early.
 
Mkimaliza kuhesabu mapesa mje waungwana tafadhali. Kizuri kula na mwenzako kama alivyofanya Ontario
 
Haijalishi watu wanasema nini, mafanikio ambayo yameanza kuonekana kwa wengi wetu ni uthibitisho tosha wa jinsi TMT ilivyo fanikiwa kubadili maisha kupitia fursa ya forex trade.

Mimi kama mmoja wa wanufaika nampongeza sana Ontario kwa moyo na nia ya kutufikia vijana wengi ili kupambana na makali ya maisha
Tupeni ushahidi acheni utapeli..
 
Biashara zote za utapeli km deci,d9,forever n.k BOT haijawah ingilia kati until the end hali inapokuw mbaya ndipo hutoa tahadhari kwamb hii kitu sio sahihi.....pole ww unaekaa kufikiria kwamb BOT wataifungia hii kitu, sabab haiwezekan.......mpk ONTARIO na team yake wameamua kuleta hii kitu hawakuw wapumbavu enough mpk kutokujua vitu vidog dogo km hivi....na hata km wakifungua utaend kutolea nje huko mfano kenya au SA na utarud kuendelea na life lako.....wala hii kitu haiwez haribu mzunguko wa pesa za ndan na za kigeni sabab tukinunua za kigen tunatrade na baad ya muda tunazibadil tena kwa kuwithdrawal in Tsh so mzunguko unarud palepale.......polen sana LAGARDS wa changes.....hatuwashangai san mana ndo kiwango chenu cha kuchanganua mambo ulipoishia......

Personally nmeanza na 100usd na leo hiki ndo kiprofit changu kutoka hio 100usd.......sasa ww kanunue 100usd pale bureau de change tuone kwa cku utaitengenezea profit kias gan..

Kwaherini wapinga fursa zenye maana.

Screenshot_20171023-180914.jpg
 
Back
Top Bottom