Mrejesho: CHADEMA imefutika Monduli,Siha na Simanjiro

Ndugu zangu,

Muda huu ndio ninahitimisha ziara yangu ya kikazi kukagua utekelezaji wa ilani katika majimbo yaliyokombolewa kutoka "utumwani" yaani Monduli,Siha na Simanjiro.

Kwanza niseme tu utekelezaji wa ilani katika majimbo hayo kwa kipindi kifupi umekuwa wa kiwango cha juu,ufanisi wa wabunge na madiwani katika kusimamia utekelezaji wa huduma kwa wananchi umekuwa wa kuridhisha mno.

Baada ya kukagua utekelezaji wa ilani pia nilipata fursa ya kukagua uhai wa chama katika wilaya ambapo majimbo hayo yanapatikana nimefarijika kuona watu "wakipokea" kwa takribani miaka mitatu sasa wamerudi huku wakitokomeza kabisa ulaghai kwa kukataa rangi hadi kufikia hatua ya kufunga ofisi.

Kwa wadau mlio mjini Moshi karibuni Meku's nipo hapa hadi saa 5 usiku kisha nikapumzike.
Hongereni kwa kuifuta CHADEMA vumbi ili ing'are zaidi.
 
fikra AU itikadi inakua moyoni mwa mtu..chadema au udp ni njia za kudhihirisha fikra za wahusika..fikra haifutiki..
SIASA ZA KUSINI MWA JANGWA LA SAHARA..
 
Baada ya CHADEMA kufutika majimbo hayo vimetngenezwa viwanda mpaka vya magari na sasa hivi uchumi wa Tanzania unatokana na majimbö ya Siha, Simanjiro na Monduli
 
Kumbe hii imeletwa na kada wa The African Mud Fish Party. Ni ya kupuuza tu hii.
 
Ndugu zangu,

Muda huu ndio ninahitimisha ziara yangu ya kikazi kukagua utekelezaji wa ilani katika majimbo yaliyokombolewa kutoka "utumwani" yaani Monduli,Siha na Simanjiro.

Kwanza niseme tu utekelezaji wa ilani katika majimbo hayo kwa kipindi kifupi umekuwa wa kiwango cha juu,ufanisi wa wabunge na madiwani katika kusimamia utekelezaji wa huduma kwa wananchi umekuwa wa kuridhisha mno.

Baada ya kukagua utekelezaji wa ilani pia nilipata fursa ya kukagua uhai wa chama katika wilaya ambapo majimbo hayo yanapatikana nimefarijika kuona watu "wakipokea" kwa takribani miaka mitatu sasa wamerudi huku wakitokomeza kabisa ulaghai kwa kukataa rangi hadi kufikia hatua ya kufunga ofisi.

Kwa wadau mlio mjini Moshi karibuni Meku's nipo hapa hadi saa 5 usiku kisha nikapumzike.
Unawajua waliopo ccm kimwili lakini Kiroho wako Chadema? usijidanganye Ruhusu mikutano ndio utajua kama Chadema imefutika au ipo
 
Ndugu zangu,

Muda huu ndio ninahitimisha ziara yangu ya kikazi kukagua utekelezaji wa ilani katika majimbo yaliyokombolewa kutoka "utumwani" yaani Monduli,Siha na Simanjiro.

Kwanza niseme tu utekelezaji wa ilani katika majimbo hayo kwa kipindi kifupi umekuwa wa kiwango cha juu,ufanisi wa wabunge na madiwani katika kusimamia utekelezaji wa huduma kwa wananchi umekuwa wa kuridhisha mno.

Baada ya kukagua utekelezaji wa ilani pia nilipata fursa ya kukagua uhai wa chama katika wilaya ambapo majimbo hayo yanapatikana nimefarijika kuona watu "wakipokea" kwa takribani miaka mitatu sasa wamerudi huku wakitokomeza kabisa ulaghai kwa kukataa rangi hadi kufikia hatua ya kufunga ofisi.

Kwa wadau mlio mjini Moshi karibuni Meku's nipo hapa hadi saa 5 usiku kisha nikapumzike.
Kwaio ajira zimeongezeka?
 
Imefutika hadi kile Tunduma, Momba, Mbozi na Mbeya. Watanzania wameamka na kuona wanajichelewesha kuchagua wapinga maendeleo.
 
I don't give a fuk ! I don't fuk around. So Go fuk yourself!! You must be Bashite or zero brain!
Your using abusive fuk language to hide your ignorance!!! You're going to follow that fuk path all the way to where it ends in history's unmarked fuk grave.
 
Watanzania hawajali mbungu ni wa chama gani wanajali uchumi wao na maendeleo. Siasa inasaidia nini kama uchumi unapungua nguvu na ndiyo maana report ya IMF watu wanajali. Uhai wa chama unasaidia vipi watu😲 someni watu jamani mnaweza kuchukua ubunge wote lakini hamjabasilisha watu mioyo yao. Hivi mnafikiri wabunge wakiwa wote wa CCM serikali itajali tena bunge😲 watu wajinga wajinga
 
Back
Top Bottom