Mrejesho: CHADEMA imefutika Monduli,Siha na Simanjiro

Mrejesho: CHADEMA imefutika Monduli,Siha na Simanjiro

Mkuu hao viongozi mnaowatisha na kuwanunua? ccm bila polis hakuna kitu. wakuu Wa wilaya wanafanya Nazi ya kulazimisha watu wauchukie upinzani bila sababu. ccm ilishakufa Mkuu wamebaki kina lugola na siro wakiibeba.
Nazi ipi tena....jomba.,, ndio maana wanasema mabavicha yanaruka na kukanyagana...kila kukicha mnatafuta defense...hamkosi sababu ya kuegemea..lakini mwisho wa siku mtauona tu..lichama ndio limeyumba hivyo, linapoelekea sio pazuri
 
mwana ccm kadi namba ngapi wewe....unajipa status ambayo huna...kama unaona kuna tatizo iweje karibu asilimia 40 ya viongozi wao wamehamia na kumuunga mkono Magufuli..hushangai...kama kungekuwa na uonevu si watu wangeenda mahakamani....hatutaki kulalama lalama kama watoto jomba...kila mtu ana akili yake.saiz sio.muda wa siasa..ni muda wa kujenga nchi
Kwani kuwa mwanachama wa chama cha siasa ni stautus? Kijana kwani kupata kadi ya chama chochote ni kazi kubwa, unataka kujua kadi number yangu itakusaidayaje.

Ndugu mkiambiqa ukweli mnakurupuka na kuwaponda watu. Hebu nieleze ni kosa gani kwa mimi kuelezea uwanachama wangu? Mimi nina kadi ya ccm kwa mda wa miaka zaidi ya 20 sasa na nimepiga kura ya uraisi na mbunge mara 4.
 
Ndugu zangu,

Muda huu ndio ninahitimisha ziara yangu ya kikazi kukagua utekelezaji wa ilani katika majimbo yaliyokombolewa kutoka "utumwani" yaani Monduli,Siha na Simanjiro.

Kwanza niseme tu utekelezaji wa ilani katika majimbo hayo kwa kipindi kifupi umekuwa wa kiwango cha juu,ufanisi wa wabunge na madiwani katika kusimamia utekelezaji wa huduma kwa wananchi umekuwa wa kuridhisha mno.

Baada ya kukagua utekelezaji wa ilani pia nilipata fursa ya kukagua uhai wa chama katika wilaya ambapo majimbo hayo yanapatikana nimefarijika kuona watu "wakipokea" kwa takribani miaka mitatu sasa wamerudi huku wakitokomeza kabisa ulaghai kwa kukataa rangi hadi kufikia hatua ya kufunga ofisi.

Kwa wadau mlio mjini Moshi karibuni Meku's nipo hapa hadi saa 5 usiku kisha nikapumzike.
Umepata buzi huko, wakudanga unahangaika sana na Chadema, lakini hata mabosi wako wanajua kuwa Chadema ipo tena ipo saaaaana. Chama ambacho hakipo ni CCM ndiyo maana inatawala kimabavu kwa mbeleko ya vyombo vya dola.
 
Kwahiyo viwanda vimejengwa baada ya kufutika chadema?
Ndo najiuliza what next endapo chadema kikafutika kabisa, ndio inakuwa washatimiza ilani ya chama au ndo kitakuwa kipimo cha kukubalika ssm kwa wananchi wanaong'an'gana kuwaita masikini na dhaifu.
 
Sasa shida ya nini kwa CCM kukataza mikutano ya vyama vya upinzani wakati wewe mwenyewe mwana CCM unakiri wazi kwamba hakuna upinzani? Ina maana mzee wako hamnazo kukataza kitu ambacho hakipo? Halafu cha ajabu wakiamua kushiriki kwenye uchaguzi mnakimbilia kuomba msaada polisi. CCM nyie akili zenu mnazijua wenyewe.
 
Tunashukuru kwa taarifa lakini nadhani tunatakiwa tufurahie zaid pale ambapo umaskini na ujinga utakuwa umefitika kabisa .
Kama baba badala ya kutumia jembe kulimia ardhi yeye analitumia kulimia watu wanaosema pembeni, unafikiri njaa itakoma na kilimo chetu cha msimu. Sijui
 
Ndugu zangu,

Muda huu ndio ninahitimisha ziara yangu ya kikazi kukagua utekelezaji wa ilani katika majimbo yaliyokombolewa kutoka "utumwani" yaani Monduli,Siha na Simanjiro.

Kwanza niseme tu utekelezaji wa ilani katika majimbo hayo kwa kipindi kifupi umekuwa wa kiwango cha juu,ufanisi wa wabunge na madiwani katika kusimamia utekelezaji wa huduma kwa wananchi umekuwa wa kuridhisha mno.

Baada ya kukagua utekelezaji wa ilani pia nilipata fursa ya kukagua uhai wa chama katika wilaya ambapo majimbo hayo yanapatikana nimefarijika kuona watu "wakipokea" kwa takribani miaka mitatu sasa wamerudi huku wakitokomeza kabisa ulaghai kwa kukataa rangi hadi kufikia hatua ya kufunga ofisi.

Kwa wadau mlio mjini Moshi karibuni Meku's nipo hapa hadi saa 5 usiku kisha nikapumzike.
Kwa mtanzania anae jua siasa na maendeleo ya nchi hawezi kushabikia kufa kwa upinzani
Serikali iliyo madarakani lazima ipate challenge kutoka upinzani ili ifanye kazi kwa ufanisi
Na kwa taarifa haya yanayofanywa na serikali ya ccm sasa ni sawa wanajibu hoja za wapinzani miaka 5 au 10 iliyopita

UFISADI ULIYO KITHIRI
ELIMU BURE
MIUNDOMBINU
 
Upinzani si lazima iwe Chadema, utetezi wa kipuuzi.
 
Ukiwa mwana Ccm lazima uwe fala kama ulivyo wewe fala tena zumbukuku
 
mwana ccm kadi namba ngapi wewe....unajipa status ambayo huna...kama unaona kuna tatizo iweje karibu asilimia 40 ya viongozi wao wamehamia na kumuunga mkono Magufuli..hushangai...kama kungekuwa na uonevu si watu wangeenda mahakamani....hatutaki kulalama lalama kama watoto jomba...kila mtu ana akili yake.saiz sio.muda wa siasa..ni muda wa kujenga nchi
Siasa ni KAZI.
 
Back
Top Bottom