Mrejesho: CHADEMA imefutika Monduli,Siha na Simanjiro

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Feb 17, 2016
17,506
15,997
Ndugu zangu,

Muda huu ndio ninahitimisha ziara yangu ya kikazi kukagua utekelezaji wa ilani katika majimbo yaliyokombolewa kutoka "utumwani" yaani Monduli,Siha na Simanjiro.

Kwanza niseme tu utekelezaji wa ilani katika majimbo hayo kwa kipindi kifupi umekuwa wa kiwango cha juu,ufanisi wa wabunge na madiwani katika kusimamia utekelezaji wa huduma kwa wananchi umekuwa wa kuridhisha mno.

Baada ya kukagua utekelezaji wa ilani pia nilipata fursa ya kukagua uhai wa chama katika wilaya ambapo majimbo hayo yanapatikana nimefarijika kuona watu "wakipokea" kwa takribani miaka mitatu sasa wamerudi huku wakitokomeza kabisa ulaghai kwa kukataa rangi hadi kufikia hatua ya kufunga ofisi.

Kwa wadau mlio mjini Moshi karibuni Meku's nipo hapa hadi saa 5 usiku kisha nikapumzike.
 
Si ndio furaha yako! Sasa unatakaje tena imefutika basi tafuta kazi nyingine. Umewaeleza Magu alivyoibai Tillion 4 za wakipa kodi yeye na chama chake cha sisiemu?
 
Kwahiyo viwanda vimejengwa baada ya kufutika chadema?
Ndugu zangu,

Muda huu ndio ninahitimisha ziara yangu ya kikazi kukagua utekelezaji wa ilani katika majimbo yaliyokombolewa kutoka "utumwani" yaani Monduli,Siha na Simanjiro.

Kwanza niseme tu utekelezaji wa ilani katika majimbo hayo kwa kipindi kifupi umekuwa wa kiwango cha juu,ufanisi wa wabunge na madiwani katika kusimamia utekelezaji wa huduma kwa wananchi umekuwa wa kuridhisha mno.

Baada ya kukagua utekelezaji wa ilani pia nilipata fursa ya kukagua uhai wa chama katika wilaya ambapo majimbo hayo yanapatikana nimefarijika kuona watu "wakipokea" kwa takribani miaka mitatu sasa wamerudi huku wakitokomeza kabisa ulaghai kwa kukataa rangi hadi kufikia hatua ya kufunga ofisi.

Kwa wadau mlio mjini Moshi karibuni Meku's nipo hapa hadi saa 5 usiku kisha nikapumzike.
 
Ndugu zangu,

Muda huu ndio ninahitimisha ziara yangu ya kikazi kukagua utekelezaji wa ilani katika majimbo yaliyokombolewa kutoka "utumwani" yaani Monduli,Siha na Simanjiro.

Kwanza niseme tu utekelezaji wa ilani katika majimbo hayo kwa kipindi kifupi umekuwa wa kiwango cha juu,ufanisi wa wabunge na madiwani katika kusimamia utekelezaji wa huduma kwa wananchi umekuwa wa kuridhisha mno.

Baada ya kukagua utekelezaji wa ilani pia nilipata fursa ya kukagua uhai wa chama katika wilaya ambapo majimbo hayo yanapatikana nimefarijika kuona watu "wakipokea" kwa takribani miaka mitatu sasa wamerudi huku wakitokomeza kabisa ulaghai kwa kukataa rangi hadi kufikia hatua ya kufunga ofisi.

Kwa wadau mlio mjini Moshi karibuni Meku's nipo hapa hadi saa 5 usiku kisha nikapumzike.
Ndugu mwanaCCM mwenzangu, usione mtu kazimia ukadhani amekufa.

Kulazimisha kushusha bendera sio kufa.

Tujitafakari na tujipange vizuri, kwa kufanya mazuri na kuheshimu katiba, hawa ndugu zetu siku wakitiwa maji na wakavuta pumzi, watakuja kutupelekesha vibaya.

Hivi tunavyofanya ni kusema tunauwa nyoka kwa kumkata mkia, isije ikawa tunaimaliza Chadema na huku tunaijenga ACT.

Heshima kwako ndugu
 
Sasa kada mwenzangu, kwa hiyo huko mikutano ya kusiasa itaruhusiwa kwa wapinzani, pia yale maandalizi yetu ya kuiba kura na kupora ushindi katika hayo maeneo yatakuwa hamna tena.
Ni ukaguzi wa ilani na si mikutano,CCM haziwezi kuwa na nunda kama wewe
 
Ndugu zangu,

Muda huu ndio ninahitimisha ziara yangu ya kikazi kukagua utekelezaji wa ilani katika majimbo yaliyokombolewa kutoka "utumwani" yaani Monduli,Siha na Simanjiro.

Kwanza niseme tu utekelezaji wa ilani katika majimbo hayo kwa kipindi kifupi umekuwa wa kiwango cha juu,ufanisi wa wabunge na madiwani katika kusimamia utekelezaji wa huduma kwa wananchi umekuwa wa kuridhisha mno.

Baada ya kukagua utekelezaji wa ilani pia nilipata fursa ya kukagua uhai wa chama katika wilaya ambapo majimbo hayo yanapatikana nimefarijika kuona watu "wakipokea" kwa takribani miaka mitatu sasa wamerudi huku wakitokomeza kabisa ulaghai kwa kukataa rangi hadi kufikia hatua ya kufunga ofisi.

Kwa wadau mlio mjini Moshi karibuni Meku's nipo hapa hadi saa 5 usiku kisha nikapumzike.

Vipi kuna maendeleo yapi kabla na baada ya kuunga mkono.Ili majimbo mengine tuunge mkono pia
 
Wapuuzi bana 😂, sasa unapima kuwepo kwa chadema kwa kipimo kipi?? Kama siasa wamezuia wasifanye kwa woga wa nondo za vichwa vya chadema. ili ujue huku chadema ipo mlete polepole na mnyika wafanye mkutano uone kivumbi chake. unapigana na mtu ulimfunga mikono unasema umeshinda. kubwa j ww.
 
Ndugu zangu,

Muda huu ndio ninahitimisha ziara yangu ya kikazi kukagua utekelezaji wa ilani katika majimbo yaliyokombolewa kutoka "utumwani" yaani Monduli,Siha na Simanjiro.

Kwanza niseme tu utekelezaji wa ilani katika majimbo hayo kwa kipindi kifupi umekuwa wa kiwango cha juu,ufanisi wa wabunge na madiwani katika kusimamia utekelezaji wa huduma kwa wananchi umekuwa wa kuridhisha mno.

Baada ya kukagua utekelezaji wa ilani pia nilipata fursa ya kukagua uhai wa chama katika wilaya ambapo majimbo hayo yanapatikana nimefarijika kuona watu "wakipokea" kwa takribani miaka mitatu sasa wamerudi huku wakitokomeza kabisa ulaghai kwa kukataa rangi hadi kufikia hatua ya kufunga ofisi.

Kwa wadau mlio mjini Moshi karibuni Meku's nipo hapa hadi saa 5 usiku kisha nikapumzike.
Kama kidume mbona unafungia mikutano ya kisiasa? kama siyo woga ni nini hicho.
 
Back
Top Bottom