Mudawote
JF-Expert Member
- Jul 10, 2013
- 11,588
- 16,095
Hicho chama kilishafutika na kufa Kigoma, Arusha, Mara, Moro, kila pahala ni R.I.PNdugu zangu,
Muda huu ndio ninahitimisha ziara yangu ya kikazi kukagua utekelezaji wa ilani katika majimbo yaliyokombolewa kutoka "utumwani" yaani Monduli,Siha na Simanjiro.
Kwanza niseme tu utekelezaji wa ilani katika majimbo hayo kwa kipindi kifupi umekuwa wa kiwango cha juu,ufanisi wa wabunge na madiwani katika kusimamia utekelezaji wa huduma kwa wananchi umekuwa wa kuridhisha mno.
Baada ya kukagua utekelezaji wa ilani pia nilipata fursa ya kukagua uhai wa chama katika wilaya ambapo majimbo hayo yanapatikana nimefarijika kuona watu "wakipokea" kwa takribani miaka mitatu sasa wamerudi huku wakitokomeza kabisa ulaghai kwa kukataa rangi hadi kufikia hatua ya kufunga ofisi.
Kwa wadau mlio mjini Moshi karibuni Meku's nipo hapa hadi saa 5 usiku kisha nikapumzike.