Mrejesho baada ya kuacha pombe miezi 6 sasa

Mrejesho baada ya kuacha pombe miezi 6 sasa

BUMIJA

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2011
Posts
6,182
Reaction score
11,782
Niliacha pombe kwa kuwa kila nikinywa pombe nikiamka naamka na kesi, kwa ufupi nilikuwa napata hasara sana. Kwa sasa nimekuwa mnene sana, muda wowote napasuka maskini Mimi.

Nikinywa pombe lawama, nimeacha lawama. Dunia tambara bovu nimekubali
 
Na mama mzazi amelaani na kusema nikirudia pombe nitakufa. Na siwezi tena kurudi huko, nakula kawaida sana, kipato changu cha kawaida ila naridhika sana na kidogo hicho.

Sasa mwili umekuwa mzito sana, nikisema nijibane kula starehe yangu itakua ipi na pombe nimeacha
 
IMG_20210801_074634_892.jpg
 
Back
Top Bottom