PreGE2025 Mratibu wa Uandikishaji Dar: Wakala wa Chama kazi yake ni kutazama sio kunakili majina ya wanaojiandikisha kwenye Daftari la Wapiga Kura

PreGE2025 Mratibu wa Uandikishaji Dar: Wakala wa Chama kazi yake ni kutazama sio kunakili majina ya wanaojiandikisha kwenye Daftari la Wapiga Kura

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
4,783
Reaction score
14,975
Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kuandika hoja yenye kichwa cha habari “Wakala wa CCM anayeandikisha majina kwenye kituo cha kupiga kura anapeleka wapi majina hayo? Ndio utaratibu wa Tume?” na kufafanua jinsi Wakala wa chama alivyokuwa akichukua majina ya wanaojiandikisha, ufafanuzi umetolewa.

Kama hukusoma hoja ya Mdau bofya hapa ~ Wakala wa CCM anayeandikisha majina kwenye kituo cha kupiga kura anapeleka wapi majina hayo? Ndio utaratibu wa Tume?

MRATIBU MKOA WA DAR AZUNGUMZA
Mratibu Uandikishaji Mkoa wa Dar es Salaam, Jerald Peter Sondo amesema “Utaratibu wa Wakala za Chama au Vyama ni kuwa mtazamaji na kubaini watu ambao wanastahili kujiandikisha na sio kuchukua taarifa za watu wengine wanaofika kujiandikisha.

“Kama yupo ambaye anafanya hivyo basi anakosea, tunaomba kufahamu jina la Kituo ili tuweze kushughulikia suala hilo kama lipo kweli, Wakala hana jukumu la kunakili majina ya kila mtu anayefika kujiandikisha au kuboresha taarifa zake.”
 
Karma will come no matter who you are or your status ..The universe will come back to balance it all.. When you think you got away with something, you didn't.
 
No reform no election imekaa vizuri sana

Kwasababu ccm maeneo mengi mawakala walinakiri majina
 
Back
Top Bottom