Mramba: Pesa za Precision uliiba wapi?

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,148
Ndugu wapendwa nimeshawishika saa hizi kuanza kuuliza kila ufisadi ulikuwapo kipindi cha nyuma?

Mhe Mramba nakumbuka wakati akiwa Waziri wa Miundo Mbinu kabla ya kuamuru watanzania wale majani, alidiriki kuandika barua ya kuishauri serikali Precission kuungana na AIRTANZANIA na kuwa NATIONCARRIER.

Bila kuwa na haya aliamua kuweka yule TWIGA aliekuwa Air Tanzania kabla ya kulazimishwa na serikali kufuta upumbavu wake!! Swali langu nauliza Mhe. Mramba "Zile pesa ulizonunulia share kubwa kwa kumtumia rafiki yako kumbe ndizo hizi za walipa kodi ama hizi ni zile za RADA ULIZOKULA NA Somaiya mfadhili wa CCM?"

....Hakika haki ya mtu haipotei duniani. Siku Mramba kwa jeuri alipowaambia watu wale majani sidhani kama alikuwa anajua ipo siku atapanda gari la kijani kuelekea Segerea! Bado najiuliza haya magari yaliyonunuliwa gafla tu hivi majuzi kwa ajiliya wafungwa yaliletwa mahsusi kwa ajili ya MAFISADI wa EPA?

Embu bwana MASHA TUSAIDIE HILI KABLA HUJARUKIA MSALA WAKO NA MENGI!
 
Hivi masha kweli bado kuna watu wana imani nae? Kwanza Masha si kazi yake hiyo
 
Ukumbuke miongo yote aliyokuwa waziri alikuwaanahujumu nchi yetu yeye na genge lake wakina Joseph Mungai[ ndio maana hata bungeni wanakaa pamoja] Kutokana na hujuma hizo ndio alipata mtaji wa kuwekeza precision.
 
Hivi tunaweza kutrace hizo pesa? PCCB mnasemaje? unaweza kukuta pesa yetu ni 75% kwenye hilo shirika? unaweza kukuta hilo shirika ni Air Tanzania ndogo hiyo, mali ya wananchi bila kujua.
 
Yah..possible....PCCB where are you? ...au hamna wafanyakazi wa kutosha....?wamejichukulia MITAJI na KUIUA ATC.....sasa wanakula na KQ
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom