hahahaha mpaka imenibidi ninukuu baadhi ya maneno yake kama alivyoyasemaYote tisa. Kumi ni hiyo English ya huyo jamaa( diaspora)
nssf ma director ni matajiri wa kutupa.. wamepiga sana hela kwenye hii miradi...
hapo bei waliyonunua kiwanja ukiambiwa utalia... msumari kilo moja tu unakuta wamenunua laki 1....
hapo wame inflate bei za vifaa si mchezooo
Bandari ya bagamoyoMambo yote mazuri yaliyoanzishwa na tawala zilizopita yanaharibiwa