Jamani, mimi nilikuwa naulizia hivi ule mradi wa NSSF wakulima miwa ya sukari ulifikia wapi?
Mradi wenyewe mpaka sasa hivi umezalisha faida kiasi gani?
Miradi ikiwa mingi bila ufuatiliaji wa kuleta tija badae yaweza kuwa shida kwa wanaohitaji pesa yao kama wanachama.
Nilisikia tena NSSF wanatarajia kuingia kwenye mradi mwingine wa kulima Mkonge - Sisal kule mkoa wa Tanga.
Tunawatakia uwekezaji mwema.