getrusa
JF-Expert Member
- Aug 16, 2013
- 2,150
- 1,824
Napata shida kujua kama hili shirika la Chakula bado lipo au lilisha kufa kama lilishakufa wahusika wako wapi?Umeyasahau mashamba ya ngano Basotu. Walivyoondoka wakanada miaka mitano haikuisha. Sasa Barbaig wanataka wapewe Ardhi yao walishie mifugo.