Mradi wa Kilimo BBT umeishia wapi?

Mradi wa Kilimo BBT umeishia wapi?

Nashe is too theoretical than practise.....tangu azaliwe hajawahi kulima hata mchicha.
img_2_1751868522564_1.jpg

Kuna kipindi nililimaga Sana mchicha naujua nje ndaniii

NB.huyo dogo kwenye picha R .I.P Siku izi mbili zilizo pita nimeambiwa alipata ajarii akafariki dunia.

Ila hii project ilinipaga Sana pesa tulikuaga tunauza kitalu mpaka 80elfu mpaka lakiii.

Na tulikuaga tuna pishanishaa na tunalima vitalu vingi SEMA ndio ivyo ni KILIMO Cha msimu maana PRICE FLUCTUATE ni kubwa Sana kwenye PERISHABLE FOODS

min -me
MENEMENE TEKERI NA PERESI
Monetary doctor
secretarybird
DR SANTOS
Poor Brain
Harmful
dosho12
Intelligent businessman
Castle_Lite
 
View attachment 3397020
Kuna kipindi nililimaga Sana mchicha naujua nje ndaniii

NB.huyo dogo kwenye picha R .I.P Siku izi mbili zilizo pita nimeambiwa alipata ajarii akafariki dunia.

Ila hii project ilinipaga Sana pesa tulikuaga tunauza kitalu mpaka 80elfu mpaka lakiii.

Na tulikuaga tuna pishanishaa na tunalima vitalu vingi SEMA ndio ivyo ni KILIMO Cha msimu maana PRICE FLUCTUATE ni kubwa Sana kwenye PERISHABLE FOODS
Hii bustani ilikuwa bongo?
 
Hii bustani ilikuwa bongo?
Ndio bongo mkuu ? Mbona umeniuliza ivyo.

Tulikua tunaandaa shamba then tunaweka mbolea ya mavi ya kuku mchicha ukikua kua tunaweka mbolea ya chumvi chumvii then ni mwendo wa maji asubuh na jioni kwa two weeks.

Nililima Sana pia ma cabbage Ila kabeji zilileta changamoto pia izi projects nilifanya Sana mkuu kwa kipindi Fulani.
 
Naona shamba linang'aa kama la Spain hoticulture
 
😅😂
Kuna ustaadii wa kupanda mchicha pia matunzoo kwa kweli kipindi ichoo tulipiga pesa Sanaa.

Matunzoo mkuu na kufuata process na procedure za msingi za KILIMO Cha mchicha.

Ilikua hapa hapa nyumbani Tanzania kipindi ichoo nilitafutaga mpaka tenda za ku supplying michicha sehemu mbali mbali.
 
Nashe is too theoretical than practise.....tangu azaliwe hajawahi kulima hata mchicha.
Watu wanaoongea sana na kupiga domo kulaumu wengine unachotakiwa ni kuwapa nafasi wageuze maneno yao kuwa uhalisia,ujionee.

Hii nilijifunza kwa magufuri, wale waliokuwa wanaifundisha serikali namna ya kufanya kazi au kuikosoa akawapa nafasi. Mojawapo ni kitila mkumbo, saa hii kimya.
 
Back
Top Bottom