DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 31,635
- 81,535
Je huu mradi bado UPO na kama UPO umefikia wapi
BBT
BBT
mradi unachanja mbuga
kahawa imesha kubali kidunia meku usishupaze shingo
As long as ulianzishwa na Mwafrika mi sijui ulipo.Je huu mradi bado UPO na kama UPO umefikia wapi
BBT
Nashe is too theoretical than practise.....tangu azaliwe hajawahi kulima hata mchicha.Ngoja wake maafisa wenezii wa BASHE.
Kilimo cha Whatsap nilijua tu maana kuna dogo alikuwa huko nimemuona kachoka Sana aliuza simu apate nauli.Watu washapiga hela
ilikua ni namna ya CCM kujipatia fedha za kampeni, maana mwaka huu mambo ya Laiza kuokota jiwe hayapo tenaJe huu mradi bado UPO na kama UPO umefikia wapi
BBT
Miradi ya mwendokasiJe huu mradi bado UPO na kama UPO umefikia wapi
BBT
Wazee waHahaha Bashe na Kafulila waasikusikie ukiuliza hayo maswali.
Watakusomea takwimu hujawahi kuziona.
Mkuu,Nashe is too theoretical than practise.....tangu azaliwe hajawahi kulima hata mchicha.
Then makofiiii mengiiWazee wa
" 1.2 bilions shillings zilienda kwenye 3.5 hectors Sasa Ile 15% Mheshimiwa rais tumeiweka kwa wakulima Hawa na imewaongezea gross production ya 20 tons kwa kila hekari 623..."
🚮🚮🚮
Haha akiuona uzi kesho utamuona ITVWazee wa
" 1.2 bilions shillings zilienda kwenye 3.5 hectors Sasa Ile 15% Mheshimiwa rais tumeiweka kwa wakulima Hawa na imewaongezea gross production ya 20 tons kwa kila hekari 623..."
🚮🚮🚮