Mradi wa google wa 'ARA' ahueni kwa watanzania??

Mradi wa google wa 'ARA' ahueni kwa watanzania??

Adam k.m

Member
Joined
Sep 26, 2011
Posts
21
Reaction score
4
Kampuni ya Google ipo kwenye mchakato wa kutengeneza simu zitakazo badilisha namna tunavyoelewa na kutumia simu nyengine sasa hivi. Mradi huu unaitwa ARA. Simu hizi zitakua kama laptop vile..kila kifaa kinauzwa tofauti ili iwe bei rahisi..wametangaza kua zitaanzia $50 na mtu utanunua upgrades kulingana na uwezo wako.
Nataka nifanye review ya hii kwenye blog yangu na naomba mtazamo wenu juu ya athari ya mradi huu kwa watanzania.
 
Mradi huu
unaitwa ARA. Simu hizi zitakua
kama laptop vile . .kila kifaa
kinauzwa tofauti ili iwe bei
rahisi.. KIUKWELI SIJAKUELEWA MKUU KAMA VIPI WEKA LINKI NIKAJISOMEE NIELEWE.
 
My bad. Bado mgeni ndugu. Ila natumai kuwa muudhuriaji mzuri. Shukran kwa link
 
Back
Top Bottom