Kasimba G
JF-Expert Member
- Jan 19, 2011
- 3,428
- 2,609
Najua huyu MTU amepotea hebu atupe mrejesho maana hayo aliyoyaita "machadema" yanayopinga kilakitu naona ka yana akili na upeo zaidi ya waunga mkono hoja!Aiseee akili za machadema bana! Yaani kila kitu mnajifanya kupinga!
Kwanza nyie waungamkono Noah zetu vipi? Na je kishika uchumba tayari?